Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bado ukweli unabakia pale pale 8 lanes Tanzania 0!
Mateso ni yale yale Bro 🤣🤣🤣 ni kama hamjafanya chochote level za makupa outdated kinda bridge hizi hapa 👇magufuli bridge 👇tho haya ni Madaraja marefu kuliko huo upuuzi wa makupa... Kufikia levels hizi 👇3.2 km cable stayed bridge labda kwa vizazi vitano vijavyo hapo kenya...🤣🤣🤣.. sisi ndio wataalamu wa hizi kazi ukanda huu, no comparison
 
8 Lanes bridge: Kenya 1 Tanzania 0
 
Ila aisee Tanzania tuna maisha mazuri sana, nikiangalia vitanda vya chuma ambavyo huku ni watu wanaoanzia maisha eti wao ni high class [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hivyo kwa akili yako kitanda cha chuma ni kibaya? Hivi unajua kwamba kuna kitanda cha chuma cha kifahari?
 
Are they moving kilaza?.., on the left, kwani hauoni it was a ceremony.., mbona mnatamani isiwe ni ukweli?.., ni chuki, wivu ama roho mbaya? ni nini huwa inawasumbua nyinyi watanzania? zoea ukweli bana..,
View attachment 2315066
Dont be stupid how can you determine whether a car is moving or not on a picture? Naona shule zenu huwa zinatoa half baked students as you have demonstrated here.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…