8 lane ziko wapi hapa, unajua nyinyi Wakenya ni ******* sn, haya saidiana na wenzako mniambie 8 lane ziko wapi na tangu lini mnapishania kulia na kwnn mnakuwa waongo waongo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2314995View attachment 2314996View attachment 2314997
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi ni mshamba sana. Sikujua Kenya tuna cable stayed bridge. Hii inaitwaje na iko wapi?
Nataka atokee mkunya aniambie hapa ni wapi, hawa watu ni ******* sn eti wameungana kuongopa na kuongopa kwenyewe hawajui, waniambie hapa ni wapi na wameanza lini kupishana kulia.Wamezoea maisha ya kihuni hao
Hapo ni Kenya. Kama sio Kenya leta evidence. Humu ndani hatupendi udaku wa kike.Mnapishania kulia cku hz?
Wewe punguza upuuzi leo nitakuaibisha. Endelea kusema kwamba hapo sio Kenya.Wakuuu mmeona hawa ******* walivyo waongo? Angalieni kuna gari inafanana na gari za Mombasa hapa? Angalieni gari za Mombasa picha ya juu alafu angalieni hizi gari zinazopishana kulia hiyo picha ya chini mpate jibu.View attachment 2315010View attachment 2315011
Nmekuuliza mnapishania kulia?Hapo ni Kenya. Kama sio Kenya leta evidence. Humu ndani hatupendi udaku wa kike.
Nakuuliza mnapishania kulia?Wewe punguza upuuzi leo nitakuaibisha. Endelea kusema kwamba hapo sio Kenya.
Nipe dakika kumi nimalize shughuli, nakuja kwenye battle.Nakuuliza mnapishania kulia?
Nakupa lisaa lizima na huwezi kupata jibu, mwenzako kaweka video ya makupa jua kali footbridge iko tofauti kabisa na hiyo bridge ya watu, ww utaniambia nini wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nipe dakika kumi nimalize shughuli, nakuja.
aisee sikuona hii maneno hili daraja si la Mombasa!Nakuuliza mnapishania kulia?
Hawa mbwa wamechanganya picha.aisee sikuona hii maneno hili daraja si la Mombasa!