Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Would you mind showing us your house sir? I want to see something.
 
Nyie muna cable stayed bridge ??πŸ˜‚πŸ˜‚ wewe unazungumza nn

Bridge yenyewe 200+ meters unapiga kelele muda wote humu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Makupa bridge ni 450m. Alafu Kenya Kuna cable stayed bridge kama hukuwa unajuwa.
 
There's one big difference between Kenya and Tanzania when it comes to public projects. Kenya finishes their projects faster compared to Tanzania. Hii project imeanza last year na tayari ishamalizwa.
Ndio maana hua munaripuliwa kazi na wachina alaf baadae munaanza kupeleka kilio chooni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mm nalinganisha ukubwa kati ya Mv Mwanza vs Mv Kutu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
MV Mwanza 90 meters, MV Uhuru 100 meters. MV Mwanza 400 tonnes, MV Uhuru II 1,800 toness.
 
Ndio maana hua munaripuliwa kazi na wachina alaf baadae munaanza kupeleka kilio chooni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Endelea kulipa wakati sisi tunasonga mbele, SGR mlianza kujengwa 2017 na Hadi saa hii Bado ni ndoto tu.
 
Mbona huhesabu watu 1200 kwenye mv mwanza ?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ au ww hujui lengo la mv mwanza ni abiria ??

Yani ww unafananisha meli ya abiria na mzigo hvi ww mzima kweli
MV Mwanza doesn't make sense economically, do you know MV Uhuru will be transporting 2 million liters of fuel to Uganda per trip? Guess itakuwa inatengeneza pesa ngapi.
 
Endelea kulipa wakati sisi tunasonga mbele, SGR mlianza kujengwa 2017 na Hadi saa hii Bado ni ndoto tu.
Sisi tunajenga pharse tano kwa wakat mmoja bado huogopi tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Dsm to mwanza 1200km

Modern electric railway in africa weka akilini hilo neno πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Na sasa tunaenda hukuπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…