Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Siku hizi huwa sibishani mambo ya kipumbavu wkt picha ziko wazi.
Yaani mjukuu wewe una make conclusion based on picha? different camera angles creates a deceptive perception in most cases, check the measurements na capacity wacha ushamba bana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
 
Duuh!!!! Kweli umepotea
Nimepotea vipi na yenyu ni ya abiria kwanza, a slay queen like train sio ndume la kazi, bado mna kazi ya kuunganisha kwa port, August ndio hii imefika trains bado!! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
 
Still under construction mzee.., ngoja iishe tujue.,
Hata ikikamilika huo uwanja hautoweza kamwe hautokidhi vigezo , vitu vyenu vingi ni vizuri kwa picha ila ukiingia ground kwenye reality ni tofauti
 
Nurse mtumbua mishipa usichanganganye habari, najua ulikuwa hujui kwamba Mv Victoria pekee ni M 92.6 metre long, pole kwa maumivu View attachment 2311990

Penda ukweli mjukuu, hautapigwa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
1659447078898.png

1659447123425.png
 
Hata ikikamilika huo uwanja hautoweza kamwe hautokidhi vigezo , vitu vyenu vingi ni vizuri kwa picha ila ukiingia ground kwenye reality ni tofauti
Utashangaa.., kama vile wenzenu wanao fika huku na kushangaa
 
Utashangaa.., kama vile wenzenu wanao fika huku na kushangaa
Kwa Afrika ukiitoa South Afrika,cairo na Tanzania hakuna sehemu nyingine ya maana itakayonifanya nishangae na kuona jipya sababu city zote za nchi zilizobakia niuchafu tu ikisemo kenya
 
Kwa Afrika ukiitoa South Afrika,cairo na Tanzania hakuna sehemu nyingine ya maana itakayonifanya nishangae na kuona jipya sababu city zote za nchi zilizobakia niuchafu tu ikisemo kenya
Tanzania ipi hii hapa ya CBD moja kando yake nyumba za waarabu? ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ CBD moja tu, alafu the rest 80% wacha nisiseme, google earth iko tu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
1659448079794.png

Tofauti ni wazi sana..,
1659448131023.png

1659448284561.png
 
Back
Top Bottom