Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haya subirieni ila kazi munayo safari hii πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Leo siamini kama wakenya wamekua wapole kias hichi nakumbuka mika 10 iliopita mlikua na matus juu ya tanzania
matusi hatuna sio kwa sababu ya upole ila ni kwasababu ya ustaarabu...tunajaribu kuwa wastaarabu ila kiukweli, tanzania bado sana...tanzania level ya Uganda na Rwanda...Kenya pacing
 
L
kama umeingia ungepata kujua kuwa ilikua ni mimi niliyeileta habari hio hapa JF toka website ya nje.... πŸ˜€πŸ˜€
Leta official source usiniletee mambo ya jamii forum plz bro be seriousπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
So unataka mm nikuamini wewe auπŸ˜›
 
matusi hatuna sio kwa sababu ya upole ila ni kwasababu ya ustaarabu...tunajaribu kuwa wastaarabu ila kiukweli, tanzania bado sana...tanzania level ya Uganda na Rwanda...Kenya pacing
Hahahah leo wakenya ni wastaarabu aisee kweli dunia inazungukaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
mbona una lia lia??πŸ˜€πŸ˜€
Sijaona cha kuniliza kaka maana naona leo unatapika kupita kiasπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Mm nakushauri malizeni uchaguz kwanza maana bado amani iko hatarini sana wageni wote washakimbia nchi
 
Hahahah leo wakenya ni wastaarabu aisee kweli dunia inazungukaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
usichukulie ustaarabu kuwa ujinga...yaani sie hamtuwezi mkatudanganya...πŸ˜€πŸ˜€
 
Sijaona cha kuniliza kaka maana naona leo unatapika kupita kiasπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Mm nakushauri malizeni uchaguz kwanza maana bado amani iko hatarini sana wageni wote washakimbia nchi
uchaguzi tuwachie sisi...tayari tumeshajenga jina duniani kote kwa independence ya judiciary...nyie hata hamjulikani mpo pande gani kwa map...πŸ˜€πŸ˜€
 
Bro unaeza kua serious kidogo unanieleza habari ya expectations hahahha
To expect maana yake huenda ikawa au isiwe so be serious hahahahhaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
nimeshakupa data...sasa wacha kulia lia?
 
uchaguzi tuwachie sisi...tayari tumeshajenga jina duniani kote kwa independence ya judiciary...nyie hata hamjulikani mpo pande gani kwa map...πŸ˜€πŸ˜€
Munajenga jina au munaiingiza nchi kwenye gharama ya mabilioni tenaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Munajenga jina au munaiingiza nchi kwenye gharama ya mabilioni tenaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
democracy is expensive...sisi si kama nyie wabunge wanapigwa risasi mchana peupe...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜›πŸ˜› by the way, alipona mwenzenu? maskini wanataka kumwua bureπŸ™πŸ™
 
democracy is expensive...sisi si kama nyie wabunge wanapigwa risasi mchana peupe...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜›πŸ˜›
Afadhali hio kuliko kifo cha musando siku tano kueleka uchaguzi we unajifunza nn hapoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Afadhali hio kuliko kifo cha musando siku tano kueleka uchaguzi we unajifunza nn hapoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
msando anaweza akawa aliuawa na wakora ila mbona rais anawakamata watu bure...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ yaani hata jina haiwezi kutajwa ama utakamatwa..πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…