Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
kama uchumi wetu ni wa kupikwa just imagine what ur GDP is at?? 25 Billion?? ππhaiwez ikawa World Bank wamepika uchumi wa nchi moja...lol!ππitakuwa yenu basi ni 25 Billion kabla ya hio 47 Billion ya kupikwa...ππBado vp na munapumulia mashineππππ
Labda uchumi wa kupika data maana kwa hilo hamujambo ππππ
Tafutieni vijana ajira aisee 22.5% hahahha π
we have the SGR going to Uganda, light rail in Nairobi CBD, new airport in Isiolo, oil export plan, Lamu port (largest in Africa)Which one gas project also???πππππ
Hahahhaha wazee wa data bandiaπππππkama uchumi wetu ni wa kupikwa just imagine what ur GDP is at?? 25 Billion?? ππhaiwez ikawa World Bank wamepika uchumi wa nchi moja...lol!ππitakuwa yenu basi ni 25 Billion kabla ya hio 47 Billion ya kupikwa...ππ
Where is SGR going to uganda??ππππwe have the SGR going to Uganda, light rail in Nairobi CBD, new airport in Isiolo, oil export plan, Lamu port (largest in Africa)
can I go on??ππ tz bado sana...
uchumi mkubwa zaidi EA and central Africa...yaani mtasoma namba milele...nimkwambia Kenya GDP=Uganda GDP + TZ GDP...chukua calculator ufanye hesabu...ππHahahhaha wazee wa data bandiaπππππ
Vijana 22.5% hawana ajira alaf unakuja kupanua mdomo munauchumi uchumi gani huo?????
Uchumi wa kenya umeshikwa na wageni na hili nilishakwambia ndio maana wazawa ni masikini wakutupa
Tafuta figure sahihi kuhusu tanzania na nilishakwambia hii ni 2017 shauri zakoππππuchumi mkubwa zaidi EA and central Africa...yaani mtasoma namba milele...nimkwambia Kenya GDP=Uganda GDP + TZ GDP...chukua calculator ufanye hesabu...ππ
kwa hiyo SGR is going to Somalia sio? dogo una chekesha sana...SGR is going to Uganda...sasa wacha kulia lia...ukwli ndio huo...Lamu port begins operations next year...we also have a double decker highway from JKIA to Nakuru highway being built...Outer Ring Highway is already complete...just marking left and it has BRT and LRT lanes...lol! projects za Kenya zinameza za UG, Tz, Rwanda combined...hapa hamna mchezo ndugu...ππWhere is SGR going to uganda??ππππ
Mm mbongo bro
Lamu port isubirieni 2050 na kama unabisha utaniambia
Oil yenyewe mumegundua ndogo sana πππ
47 billion sio? sasa fanya 47 billion plus 25 billion ya Uganda...kwa mtazamo wangu total ni 72Billion...Knya GDP is 75Billion...πππTafuta figure sahihi kuhusu tanzania na nilishakwambia hii ni 2017 shauri zakoππππ
Alaf mm nikupe siri ndugu watanzania hua sio watu wakujionesha sana mambo yetu hua tunafanya kimya kimya yani adui anakufa huku anajionaπππ
Where is?????? Unajua usiniletee hadithi bro ujue mm mbongo, lamu port subirieni 2050 nakwambia sijaona project ya kutisha bado bro kumbuka kwanza lpg plant in mtwara cost yake ni 30 billion $ hahahaha sijagusa kwengine hahahhahahakwa hiyo SGR is going to Somalia sio? dogo una chekesha sana...SGR is going to Uganda...sasa wacha kulia lia...ukwli ndio huo...Lamu port begins operations next year...we also have a double decker highway from JKIA to Nakuru highway being built...Outer Ring Highway is already complete...just marking left and it has BRT and LRT connections...lol! projects za Kenya zinameza za UG, Tz, Rwanda combined...hapa hamna mchezo ndugu...ππ
***** 75 mutaisubiria mpaka yesu ashuke unafkiri 75 mchezo hio figure peleka nairaland sio kwa mbongo47 billion sio? sasa fanya 47 billion plus 25 billion ya Uganda...kwa mtazamo wangu total ni 72Billion...Knya GDP is 75Billion...πππ
just using google imekushinda? haya tazama hapaWhere is?????? Unajua usiniletee hadithi bro ujue mm mbongo, lamu port subirieni 2050 nakwambia sijaona project ya kutisha bado bro kumbuka kwanza lpg plant in mtwara cost yake ni 30 billion $ hahahaha sijagusa kwengine hahahhahaha
IMF: Ethiopia's GDP to hit $78B this year, Kenya at $75B***** 75 mutaisubiria mpaka yesu ashuke unafkiri 75 mchezo hio figure peleka nairaland sio kwa mbongo
ππππππ
Mm nakwambi lamu port isubirieni 2050 u will seejust using google imekushinda? haya tazama hapa
https://www.the-star.co.ke/news/201...t-to-start-in-2018-uhuru_c1567276:p:p:p:D:D:D
Diamond alikuwa rapper wakati anaanza muzikiππππati wizkid...lol! diamond hata hakuna musician ameshinda Nigeria ama SA...bado anabahatisha tu...kwanza hata hana diversity...anaimba stye moja tu na kwa lugha moja tu...kina wizkid wako mbali bana... nimeskia wizkid aki rap pia...mwulize diamond arap uone mazingaombwe!πππ±π±
kijasho mnawapa waganda na wanyarwanda...sisi wahabeshi tu ndio wanajaribu...wengine wote bado sana...Mm nakwambi lamu port isubirieni 2050 u will see
πππππππππππππ
Yani tanzania iko motooooooπππ
Jirani anatoka kijasho chembamba kabisa
Bro unaniletea source ya jamii forum hahahhaIMF: Ethiopia's GDP to hit $78B this year, Kenya at $75B
unajua nakuelewa...elimu ni kidogo...haya ndio hio nimekuletea
Haya subirieni ila kazi munayo safari hii πππkijasho mnawapa waganda na wanyarwanda...sisi wahabeshi tu...wengine wote bado sana...
kama umeingia ungepata kujua kuwa ilikua ni mimi niliyeileta habari hio hapa JF toka website ya nje....Bro unaniletea source ya jamii forum hahahha
Plz be serious πππππππ
Pumzika bro naona leo umetapika sanaππ
Huyo kashachanganya tayari amebakia kutapika tu humu leoππππππDiamond alikuwa rapper wakati anaanza muziki