Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

It's God and not god.

Ukiwa unamtaja Mungu kama unamuamini kwamba ndiye muumba mbingu na nchi na ni mkuu kuliko chochote mtaje kwa herufi kubwa.

Kama hivi Mungu, BWANA, MUNGU.

GOD,Almight God,or God.

Ukisema god unamdogoisha na kumkosea heshima wakati hapo juu umem-appreciate kwa kukupa afya na uzima.

Samahani lakini siyo jukwaa la dini ila nimetoa usahihisho kidogo.
 
Swali zuri sana hili na ndicho kinachonipa ukakasi.

Tukiangalia historia yake kama mfanyabiashara, miaka ya tisini, Bill Gates aliwahi kushitakiwa na serikali ya Marekani kwa sheria za ukiritimba (antitrust law). Chini ya uongozi wake, alizuia watumiaji wa Windows wasiweze kuchagua kampuni nyingine (mf Netscape Navigator).

Leo hii ameingia kwenye sekta ya afya na chakula, anamwaga pesa kama hana akili nzuri, unafikiri ni anafanya bure? Unafikiri ni kwa nini?
 
Waiiii! Basi me ninajuaga eti wanaokunywa pombe wana advantage ya kuwa na maji mengi mwilini hasa beer ambayo haina kilevi kikubwa sana kwasababu inatumia maji na ngano.

Siyo mimi tu watu wengi huamini hivyo kumbe sivyo. Nimepata knowledge hapa [emoji4][emoji4]
 
Mlichobarikiwa ni mdomo mpana tu lkn ground zero.
Ground ishatenezea alover shida ni mnadhani Nairobi ya Sasa ni ile ya kitambo kama hujafika Nairobi 2022 basi nakwambia huijui Nairobi Sasa hivi carpeting inafanywa si mchezo
 
Tanzania tangu magufili hakuna jipya vitu ambavyo mumekua mukiongelea years ago Bado ndivyo munaongelea to date
 
Pombe ina tabia moja inaitwa diuretic, yaani inafanya mwili utoe maji kutoka kwenye damu kwa wingi na kukufanya ukojoe sana. Kama ukiungalia ule mkojo unakuwa na rangi ya dark brown (ikimaanisha mwili hauna maji)
 
Aisee ni kweli unashangaa mtu anakojoa mara kwa mara na kweli mkojo siyo mweupe. Hapo ndipo yalipo madhara pombe.

Ahsante kwa somo hili huko mwanzo nilikuwa naelewa tofauti.
 
Tanzania tangu magufili hakuna jipya vitu ambavyo mumekua mukiongelea years ago Bado ndivyo munaongelea to date
then according to me vile tu naona.. while nairobi inazidi ku develop kila mahali kwa kasi sana... kwangu dar es saalam ime stagnate allover sudden! sio kama miyaka ya hapo nyumae around 2016-18, ambapo sisi sote EA tuli witness dar ikikuja, nakumbuka skyline ya dar iki transform hadi mimi nikajua sisi kwisha! wakenya wengi tulitia hofu kwamba Tz is coming to conquer east africa. ata vyombo vya habari na magazeti huku ilituarifu hivo kilawakati, kwamba "based on Tanzania's sustained and consistent huge economic growth, Darslam by 2020-22 will be EastAfrica's Economic Powerhouse, a hub of Commerce and Finance all major Int'l players will be focusing on, in this regional bloc, and that nairobi will be its predecessor, after a long time dominance......" hio bado nafahamu vizuri sana around 2016🤔

lakini sasa wapi! Dar tayari imesha pose. hio flame🔥 imeshazima tayari. hehe🤪 huku nairobi ikizidi kuteka anga za juu kila leo🔥🔥🔥👏🏽 sasa ona leo ni 2022... nabadooo......
 
Ground ishatenezea alover shida ni mnadhani Nairobi ya Sasa ni ile ya kitambo kama hujafika Nairobi 2022 basi nakwambia huijui Nairobi Sasa hivi carpeting inafanywa si mchezo
Ingekuwa hivyo usingechukua mada ya uchafu wa ka Nairobi humu ukaenda kulilia twitter [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Haha you don't need to worry, your BP is within normal range,it's advised to check BP 30minutes after consuming coffee or from walking, make sure your in sitting up position and use left arm to set your bp machine cuff,
If its automatic BP machine you should change battery atleast after 3 bp checked just to be sure the reading are precise, I advise to check your Bp once per week
 
Ingekuwa hivyo usingechukua mada ya uchafu wa ka Nairobi humu ukaenda kulilia twitter [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tulilia tweeter vilio vikasikika Sasa wanarekebisha kwa mwendo wa Kasi sana
 

Lol. Leo unajifanya kipofu.
Go back to all those Safaricom threads.

We compare Safaricom versus Vodadom, Tigo, Airtel etc. COMBINED.

Ata mchukue all your Telcos, muongeze za Rwanda, Burundi na Uganda, that is still less than 30% of Safaricom profit.

Clear sign of an LDC without much economic activity.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…