Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapana, hatuwezi kuweka afya zetu rehani kwa jitu linaloitwa WHO. Vipi kama WHO imerubuniwa? Unafahamu kuwa Bill Gates ndiyo mfadhili wa pili wa WHO akiwa nyuma ya nchi (Marekani)? Yaani mtu mmoja anatoa pesa nyingi WHO kuliko serikali za nchi Tajiri kama Japan na Ujerumani, huwezi kujiuliza kwa nini?
 
We jamaa sijakuelewa Unazungumzia nini, kwamba Tz hakuna industrial Park ama.?
 
How many ships per month hiyo port inapokea? Ukijibu uwe umelewa swali vizuri maana nimeuliza kuhusu ships sio boats.
 
Hizo akina Sino nimechambua.., so far nini kiko pale?., weka makampuni yalio wekeza na yameanza kazi tayari kama vile Tatu tuone...,
Hiyo video haujaingalia mzee, ukiendelea kuiangalia hiyo vud utaona viwanda vimeshaanza kujengwa
 
How many ships per month hiyo port inapokea? Ukijibu uwe umelewa swali vizuri maana nimeuliza kuhusu ships sio boats.
Now you are out of topic, we were talking of lappset project as awhole not lamu port.... Lamu port as a part of the project its not really doing so well but we were talking about the project in wholesome and the benefits it has brought hence ruling it out as not being a white elephant
 
Vinajengwa, hakuna yenye imeanza kazi., na hilo ndio nasema.., so Tatu iko hatua kadhaa mbele..,
In comparison Kati ya tatu city na SINO TAN INDUSTRIAL PARK yenye by 2024 itakua na viwanda 100 right.?
 
We bwana Don YF wachana na Pwani kabisa kwenye maisha yako 👇 . SINO TAN INDUSTRIAL PARK na parks zingine zinazojengwa as we talking right now ni miradi mipya mikubwa but they ar not the only industries that we have, hapa bongo mkoa wenye viwanda vingi kuliko mikoa yote ni Pwani region, nikianza kuweka viwanda vya Pwani itakubidi ulete Nairobi kwenye hiyo battle, kwahyo please stay on your lane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…