El Matador
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 7,132
- 3,936
wabongo wote wapepanga laini kuenda SA ku shoot video...bure kabisa!! inaonyesha hata hamuipendi nchi yenu...kila kitu SA...ipendeni chi yenu ata iwe mbovu namna gani...
just imagine!!! wote wamekimbia SA...kisha wapo hapa wanaimba eti Tanzania inaweza compete na Nairobi...wakati wote wametoroka hata huo mji wao...i like Kenyan artists...buy Kenya build Kenya...we have our own music producers..we dont need to take advantage of other people's work...wanaenda kuimbia bafuni south Africa hahaha. .....kwani hakuna Jacuzzi hapo upanga
😀😀😀😀amepata bundles! lol!umepata bundles Leo chokoraa wa uswazi....wewe toa maoni kwa ngoma za sengenya lakini sio hip hop
Hahaha umenichekesha sana[emoji28][emoji28]wanaenda kuimbia bafuni south Africa hahaha. .....kwani hakuna Jacuzzi hapo upanga
Niliona iyo, Jamaa anasema like subway in newyork hahaha wamarekani wanavimatusi vya rejarejatrey songz akipanda matatu Nairobae..
lyrical and content wise,khaligraph jones ni mwana hiphop wa kawaida sana.hana upekee wowote wa kuwatisha maMCs wa kitanzania.
tz ina ina hazina kubwa ya maMCs/hip hop artist than any country in EA.nikiwataja hapa sitomaliza leo.
kitu pekee ninacho mpendea khaligraph ni uwezo wake wa ku-rap kwa kingereza cha wamarekani weusi.kwa hilo kajitahidi sana.sidhani kama anampinzani hapo kenya.
nilipokuwa secondary nilikuwa navutiwa sana na aina ya kingereza kinacho zungumzwa na wamarekani weusi.