Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Baba kwa lipi? Unasahau kenya ndo tumespearhead S.Sudan na DR.Congo kujinga na EAC. Alafu huyu rais wa somalia trip yake ya kwanza nje ya nchi ilkua Kenya kuonesha influence kenya iliyonayo kwa somalia
Kama kawaida yenu mlivyo wajinga, DRC walianza kuleta maombi ya kujiunga kipindi cha Magufuli akiwa mwenyekiti wa EAC na Joseph Kabila akiwa rais.

Kitendo cha wao kuja Kenya wakati huu ni kwasababu Kenya ndiyo inashikilia uenyekiti wa EAC.

Tony alisema kwamba Somalia haiwezi kuruhusiwa kujiunga na EAC kwasababu Kenya itapinga, Sasa tuone Kama Somalia itazuiliwa kujiunga kwasababu Kenya na Somalia hamuelewani.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hao nao watajoin tu EAC
 
Hawa ni wababaishaji Sana, unakumbuka yule mkenya aliyesema yupo na pesa za kununua korosho za Tanzania lakini mwisho ikagundulika hakuwa na pesa?. What is $16M?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
What do you benefit from all these HQs?. They don't help Kenya in anything apart from ceremonial[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Wewe na babako geuza niliwaambia NALA's biggest customers are Kenyans in the diaspora this proves it[emoji1787]
Wewe ni mpuuzi Kama kawaida, debate" ilikua kwamba NALA ni kampuni la Kenya au Tanzania?, hiyo habari ya kwamba customers wengi kuwa wakenya ni lazima iwe hivyo kwasababu wakenya ndio wanaotuma pesa nyingi Nyumbani ili kusaidia kugharimia umasikini huko Kenya, kwetu hilo tunafurahi Kama mnavyo support Bongo flava, hiyo ni faida kwa Tanzania.

You buy our goods, food, NALA services, Music, and many others, thank you very much for your support[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Cock-suckers katika ubora wao, badala kutimia nafasi hio kutetea maslahi ya watanzania wanaishi utumwani southern somalia nyinyi mnatawaliwa mpaka na shitholes[emoji849]
Bado hujaacha matusi eehh, ngoja tuanze kampeni za ban [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…