Mbona hawa mbwaa kipindi cha JPM walianza kujitaidi kuwa wasafi hadi kuweka vitofari kwenye njia za watembea kwa miguu na kujenga vistendi vya basi angarau vinapendeza ila sasa mambo yamebadilika wamerudi kwenye uchafu wa kutisha Tony254 MK254 ,komora096 NicxieSave Nairobi from the chronic stinking [emoji28][emoji28][emoji28]
Kama vile wazungu hufanyaga cheese race ambapo wana roll a huge chunk of cheese downhill halafu wanaanza kuikimbiza anayeipata kwanza anaondoka nayo home same with our northern neighbours ila wao wanafanya na ugali kama ambavyo mmeona ile picha jamaa kabeba ugali begani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
mngalijua tu kuna sehemu ata hio ugali ama unga, kuna wakenya hawaitambui. ugali huko itakua ni kitu geni sana๐๐๐๐
Hata wangekua na uwezo wa kumudu vyakula vingine vitawashinda sababu hawajui kupika ๐๐๐
Ndizi na viazi hawajui kabisa kabisa, seafoods ndio kitendawili ๐ ๐ ๐
dyfre hapa hata wale Macdonald mnaowashabikia hawaoni ndani!
View attachment 2297409View attachment 2297410
Mimi huwa najiuliza sana ili swali ...kama maisha ya mkenya wa sasa hivi 2022 ni sawa sawa na maisha ya mtz wa 1990 je maisha ya wakenya ya mwaka 1990 yalikuwaje ...Hahaha ukiacha mbali upishi wa chakula anachokula hasa mboga (hiyo kwa Tanzania ni supu watu wenye hangovers wanakunywa Asubuhi na sio mboga sababu ipo plain)
Kingine ni hivyo vyombo vya chakula [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] vilitumika Tanzania 1940s, zunguka Tanzania nzima hutoviona isipokua Magereza [emoji28][emoji28][emoji28]
View attachment 2297375
Hawa watu hawanywi chai asubuhi yaani wakiamka tuu kitu cha kwanza ni uji hivyo matumizi ya unga kwao ni makubwa sanaMm huwa nadhani ni masihara aisee kumbe kweli jamaa wanautegemea ugali kuliko chakula chochote kile.
Mimi nilishavisahau nimefurahi kuviona lakini[emoji28]Duuhh hivi vyombo bado vipo kweli?
Hapo hakuna mapishi ni uchafu tu kwa sisi tunaojua vyakula kwa macho tu tunajua chakula kipi kitamu na kipi kibovumngalijua tu kuna sehemu ata hio ugali ama unga, kuna wakenya hawaitambui. ugali huko itakua ni kitu geniView attachment 2297412View attachment 2297413View attachment 2297414View attachment 2297415View attachment 2297427View attachment 2297417View attachment 2297418View attachment 2297419View attachment 2297420View attachment 2297416View attachment 2297421View attachment 2297422View attachment 2297423
Hivi huyu mpumbavu ni lini ataanza kufuatilia miradi ya kumikakati ili kutia nguvu na moyo ikamilike kwa wakati sembuse kubuni miradi mipya ya kimikakati ...yaani yeye ni kushikana shikana mikono tu na kupiga picha basi
ya kusukuma wikiHivi huyu mpumbavu ni lini ataanza kufuatilia miradi ya kumikakati ili kutia nguvu na moyo ikamilike kwa wakati sembuse kubuni miradi mipya ya kimikakati ...yaani yeye ni kushikana shikana mikono tu na kupiga picha basi
Yaani ninyi kwenye kupika bado Sana ๐ ๐ ๐ sasa hiki chakula anakula binadamu au mbwa?mngalijua tu kuna sehemu ata hio ugali ama unga, kuna wakenya hawaitambui. ugali huko itakua ni kitu geni sanaView attachment 2297412View attachment 2297413View attachment 2297414View attachment 2297415View attachment 2297420View attachment 2297427View attachment 2297417View attachment 2297416View attachment 2297418View attachment 2297419View attachment 2297421View attachment 2297422View attachment 2297423
Huyu kazimoti ni balaa pale TABATA ๐คฃ๐๐๐๐
Hata wangekua na uwezo wa kumudu vyakula vingine vitawashinda sababu hawajui kupika ๐๐๐
Ndizi na viazi hawajui kabisa kabisa, seafoods ndio kitendawili ๐ ๐ ๐
dyfre hapa hata wale Macdonald mnaowashabikia hawaoni ndani!
View attachment 2297409View attachment 2297410
Hizi ni nini Mkuu ? au wanajiandaa kuunga ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ.Yaani ninyi kwenye kupika bado Sana ๐ ๐ ๐ sasa hiki chakula anakula binadamu au mbwa?
Mifupa yote hii ya kazi gani kwenye food for human consumption? Tanzania ni steak tu huwezi kuta hii kitu na ukiwawekea hivi watakususia, watu wanatakiwa wale kwa kurelax nakijiko na sio kupambana na mafupa ya dogi mezani, itakua vita hiyo sio eating ๐ ๐ ๐ ๐
View attachment 2297436
We kijambio cha sa100 mambo ya ukabila hatutaki hapa jf ...kama hauna hoja nenda mkapapasana na samia wakoNa JPM sio? Msukuma mkabila! Kwa akili yako mbovu unaweza kudhani Rusumo Hydropower ni yeye ndiye aliyeleta mradi!
Vyakula vyote hivi vinatoka Tz, cku Tz ikisema haiuzi kitu Kenya wallahi mnakufa siku mbili tu. Au kama Tz ikatokea ukame wa kutisha juwa kwamba nchi ya kwanza kuathirika ni Kenya mana hawa malazy hakuna chakula wanazalisha, chakula chote kinatoka Tz, tunawalisha kwa kila kitu.mngalijua tu kuna sehemu ata hio ugali ama unga, kuna wakenya hawaitambui. ugali huko itakua ni kitu geni sanaView attachment 2297412View attachment 2297413View attachment 2297414View attachment 2297415View attachment 2297420View attachment 2297427View attachment 2297417View attachment 2297418View attachment 2297419View attachment 2297421View attachment 2297422View attachment 2297423
Njengere unaita ndengu?Mpaka kwenye sherehe mnakula dengu? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2297389
Legendary huyo kwenye eateries za bongo ๐๐๐ chakula kipo classic mpaka mamtoni wanamuelewaHuyu kazimoti ni balaa pale TABATA ๐คฃ
Ndio imetoka hiyo ๐ ๐ ๐ ๐ ๐Hizi ni nini Mkuu ? au wanajiandaa kuunga ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ.
๐๐๐๐ Tony, Don YF na KENPAULITE, heb njooni hapa mumskize huyu falaVyakula vyote hivi vinatoka Tz, cku Tz ikisema haiuzi kitu Kenya wallahi mnakufa siku mbili tu. Au kama Tz ikatokea ukame wa kutisha juwa kwamba nchi ya kwanza kuathirika ni Kenya mana hawa malazy hakuna chakula wanazalisha, chakula chote kinatoka Tz, tunawalisha kwa kila kitu.
๐ ๐ ๐ ๐ Dah aisee sasa njegere gani Nyeusi? Au ninyi mnapika njegere zikiwa kwenye stage gani?Njengere unaita ndengu?
yaak!๐คฎ chips ina nyakati zake na wala sio mlo bali snack.๐๐๐๐
Hata wangekua na uwezo wa kumudu vyakula vingine vitawashinda sababu hawajui kupika ๐๐๐
Ndizi na viazi hawajui kabisa kabisa, seafoods ndio kitendawili ๐ ๐ ๐
dyfre hapa hata wale Macdonald mnaowashabikia hawaoni ndani!
View attachment 2297409View attachment 2297410