Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
ndio ila nje ya Dar mpo kama 1960 vile...lol! no internet, no roads...yaani msitu tupu...nawahurumia 45 million tanzanians...cities drive the economy...ndo maana nchi ndogo ya Kenya inaongoza nchi kubwa kama tanganyika...mmejifinyilia kule mikoani nyote na wanyamaππcapital city inafanana sijui na msitu...mijengo finyu na very rare...Mind you, a knyan living in a slum is more educated and wealthier than a tanzanian living in a village...Huko mikoani hakuna shida/njaa kama kenya. Ndo maana wakenya wengi wanakimbilia mijini. Tanzania ni raha tu, popote pale kambi.
kama hao ndio artists wako wa tz unaowajua,basi sina shaka kusema wewe bado ni kijana mdogo sana.nadhani umezaliwa mwaka 2005.these are the only Tanzanian artists I like
Rayvanny
Na maybe darassa.
Who told u hakuna maendeleo nje ya dar we akili yako unaona watanzania hawafanyi chochote au siothat is kenya's second city ila Dar hamna maendeleo yoyote nje ya Dar...tz is a one-city country...lol! hata Kisumu inakimbiza ur villages...imagine a country of 50 million...only 5 million live in a city...the rst wapo msituni na wanyama...πππkenya city dwellers almost 12 mil nigga
Naona kwenye beach hotels umekimbia hahahhathat is kenya's second city ila Dar hamna maendeleo yoyote nje ya Dar...tz is a one-city country...lol! hata Kisumu inakimbiza ur villages...imagine a country of 50 million...only 5 million live in a city...the rst wapo msituni na wanyama...πππkenya city dwellers almost 12 mil nigga
To be educated hakuizuii slum za kenya kuongoza dunia cha ajabu wako educated na wanaishi maisha ambayo nguruwe hawez kuishπππππndio ila nje ya Dar mpo kama 1960 vile...lol! no internet, no roads...yaani msitu tupu...nawahurumia 45 million tanzanians...cities drive the economy...ndo maana nchi ndogo ya Kenya inaongoza nchi kubwa kama tanganyika...mmejifinyilia kule mikoani nyote na wanyamaππcapital city inafanana sijui na msitu...mijengo finyu na very rare...Mind you, a knyan living in a slum is more educated and wealthier than a tanzanian living in a village...
ππππππ Povu la mwakaEast Africa king wa hiphop ni K Jones iyo si siri
Mikoani mwa tanzania kumekosa mijengo mirefu tuz lakini kila mkoa unajitegemea na una kila kitu. Kuhusu intaneti, huko ndiko zipo na tena kwa speed kubwa sana.ndio ila nje ya Dar mpo kama 1960 vile...lol! no internet, no roads...yaani msitu tupu...nawahurumia 45 million tanzanians...cities drive the economy...ndo maana nchi ndogo ya Kenya inaongoza nchi kubwa kama tanganyika...mmejifinyilia kule mikoani nyote na wanyamaππcapital city inafanana sijui na msitu...mijengo finyu na very rare...Mind you, a knyan living in a slum is more educated and wealthier than a tanzanian living in a village...
Hayo ni maneno tu ata kwenye khanga yapo! !ndio ila nje ya Dar mpo kama 1960 vile...lol! no internet, no roads...yaani msitu tupu...nawahurumia 45 million tanzanians...cities drive the economy...ndo maana nchi ndogo ya Kenya inaongoza nchi kubwa kama tanganyika...mmejifinyilia kule mikoani nyote na wanyamaππcapital city inafanana sijui na msitu...mijengo finyu na very rare...Mind you, a knyan living in a slum is more educated and wealthier than a tanzanian living in a village...
poaMikoani mwa tanzania kumekosa mijengo mirefu tuz lakini kila mkoa unajitegemea na una kila kitu. Kuhusu intaneti, huko ndiko zipo na tena kwa speed kubwa sana.
hamna jiji nje ya Dar...huwez ukamdanganya mkenya...capital city dodoma nimefika majuzi..duh! kama mashambani vile...Hayo ni maneno tu ata kwenye khanga yapo! !
kuna watu ni wafanyabiashara na wasomi hawaishi dar Arusha wala Mwanza, kama unaongozwa na hisia umepotea, Nikupe tu mfano kuna vijana wanaishi Morogoro mjini ni wasomi tu wa digrii moja na wakulima wazuri wa mazao ya biashara, mtu anamiliki nyumba za biashara na gari nzuri ya kutembelea....uyo anaeishi kibera ni bora uko Kenya na sio ufananishe na Tz
Porojo.ndio ila nje ya Dar mpo kama 1960 vile...lol! no internet, no roads...yaani msitu tupu...nawahurumia 45 million tanzanians...cities drive the economy...ndo maana nchi ndogo ya Kenya inaongoza nchi kubwa kama tanganyika...mmejifinyilia kule mikoani nyote na wanyamaππcapital city inafanana sijui na msitu...mijengo finyu na very rare...Mind you, a knyan living in a slum is more educated and wealthier than a tanzanian living in a village...
Kama hazijawahi kubamba wewevery true....kwa video watz wako fiti ila nyimbo hata hakuna yenye ishawahi nibamba...yaani watz ni bling tu kwa video...na mara nyingi zime kuwa shot Afrika Kusini...hawana producers na directors walio na talent kwao
kama ho ndio artists wako wa tz unaowajua,basi sina shaka kusema wewe bado ni kijana mdogo sana.nadhani umezaliwa mwaka 2005.
ndio maana mda wote unaandika ujinga.[emoji23]
si mbayaKama hazijawahi kubamba wewe
basi jua Wakenya wengi ziliwabamba
Sizitaki mbichi hizi
kwanza kwa rap and hip hop kenya ina wakilisha...tz ngoma zao zote zinafanana...hakuna variety...kwanza wote wanakimbia afrika kusni ku shoot video..these niggas tho...ππI have followed Tanzanian music toka kitambo.....since enzi za sijui doggy man,Tmk huko 2007 while in form one.....but Ali kiba has been consistent and producing hit after hit....with his debut song kigoma.......diamond ndio mtoto kwa kiba....he sometimes behaves like an immature boy.
And hip hop Khaligraph Jones ako ligi yake hapa East Africa
Last year sauti sol won an mtv mama award as African group of the year. .kwanza kwa rap and hip hop kenya ina wakilisha...tz ngoma zao zote zinafanana...hakuna variety...kwanza wote wanakimbia afrika kusni ku shoot video..these niggas tho...ππ
ππππati wizkid...lol! diamond hata hakuna musician ameshinda Nigeria ama SA...bado anabahatisha tu...kwanza hata hana diversity...anaimba stye moja tu na kwa lugha moja tu...kina wizkid wako mbali bana... nimeskia wizkid aki rap pia...mwulize diamond arap uone mazingaombwe!πππ±π±Last year sauti sol won an mtv mama award as African group of the year. .
Diamond ati anashindana na Wizkid Hahaha. . ..Wizkid ako ligi ingine bana......