Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna watu humu ndani wanaishi kwenye denial sasa hata ukiweka facts hapa watazipindapinda bila sababu yyte ya msingi ..umeme kufika kijijini sio kuwafikia walengwa ilo jambo lipo kisiasa zaidi
 
Link ipo chini, katazame huko youtube, like na u subscribe asante sana.

Filamu Pictures, wanawaletea kazi ya filamu ya kitanzania iitwayo PETE

Kutana na Bwana Lidawi, mvuvi mwenye hali ngumu na mke mgonjwa na jinsi anavyoingia matatizoni kutokana na pete ya maajabu iliyofika katika ulimwengu wa wanadamu kwa ajili ya kazi maalum

Kutana na Bwana Songolo mtu tajiri, mkorofi na mkali sana, ambaye nae anajikuta yuko katikati ya mikasa hiyo ipatayo bwana Lidawi

 
Sio kusahau zilikuwepo ila kuna baadhi ya overpass Magu alizipunguza ili kuokoa hela
Jamen kama vitu hamjui ulizeni kwa wanaojua hiko kitu kwa 100% mpewe majibu, msije mkaishia kugeuss vitu vya uongo..
Hio sehem ipo pale majumba sita.. hapo kuna nyumba zinatakiwa kubomolewa..kuna wanaodai fidia ndo imesababisha wachelewe kujenga overpass hapo.. lkn plan ya overpass ipo.. na hio sehem iko kweny mwinuko sana, si rahis mtu kupita hivhiv bila kuchukua tahadhar nyingine.. overpass itajengwa mpk hapo fidia zote zitakapoliwa..
Kwa wanaotaka kupajua hio sehem ilipo. ukiwa segerea kama unaenda kinyerez, kuna njia panda inaenda majumbasita.. ukiwa unaingia barabara ya g/mboto bas ndo unapita hapo kwanza
Sehem yenyew iko hiv (google map)

Na hii ndo njia barabara itakapojengwa baada ya watu kulipwa fidia (unaweza kuona baadh ya nyumba zimeshabomolewa, kuna kaspace)


Kingine, fidia haitahusu tu hio sehem jiran na reli. Itahusu pia huko mbele.. mana kunatakiwa kujengwa barabara nyingine ya lane mbili baada ya extension ya overpass.. kuna option mbili, either extension ya overpass ikutane na barabara ya zaman, au extension ya overpass itengeneze barabara nyingine mpya.. option zote hizo zinahitaji fidia.. ishu ya hapo ni kubwa kuliko mnavyodhan

 
Hii data ni ya 2020 ambayo ni 2 years ago. Huwezi kusema kwamba data ya 2 years ago ni nzee.

Cc 7seven
 
Kuna watu humu ndani wanaishi kwenye denial sasa hata ukiweka facts hapa watazipindapinda bila sababu yyte ya msingi ..umeme kufika kijijini sio kuwafikia walengwa ilo jambo lipo kisiasa zaidi
Ata hapa jiji la Mwanza kata nyingi hazina umeme watu wanaushi mijini lakini hawana access ya umeme, na hapa ni Mwanza je vipi kuhusu mikoa mingine, hizi siasa za Tanzania ni za ajabu sana, manguzo yametelekezwa chini yapata mwaka mmoja na nusu yapo barabarani. Kwenye ukweli tuseme sizan kama access ya electricity inafikia ata 30% kwa watanzania, tatizo lingine wachangiaji wapo Dar wanazani na sehemu nyingine za Tanzania kuna umeme.
Mwanza tuna ziwa victoria lakini maji tunapata mara moja kwa mwezi na ziwa tunaliona.
Nazungumza fact huduma za kijamii kwa Tanzania bado tupo nyuma sana.
Tuendelee kushindanisha maghorofa ya mji fulani na mji fulani, ikiwa huduma muhimu hakuna

Nchi nyingi za scandinavia hazina majengo marefu kama ya posta au Nairobi lakini wapo mbali sana kiuchumi na huduma bora za kijamii.
NB; POVU RUKSA KWA WAPUMBAVU.
 
siasa za Mwendazake na Sukumagang! Kigoma bado ni umeme wa mafuta!
 
siasa za Mwendazake na Sukumagang!
Ni kweli mkuu porojo zimekuwa nyingi kuliko vitendo.
Siku tukipata akili tutaelewa kwanini wenzetu wa kenya wanawekwa kuwa ni second world while Tanzania ni third world, unazani hawakuona maghorofa ya kariakoo😂😂😂
Tanzania kuna porojo nyingi kuliko vitendo siku viongozi wakipata uzalendo na uchungu kwa wananchi wao tutatoka huku tulipo na kuanza kutumia rasilimali zetu vizuri kwa maendeleo ya taifa letu.
 
Asante sana, umejieleza vizuri. Karibu kwenye jukwaa.
Cc joto la jiwe natumai umepata ujumbe.
 
Kuna watu humu ndani wanaishi kwenye denial sasa hata ukiweka facts hapa watazipindapinda bila sababu yyte ya msingi ..umeme kufika kijijini sio kuwafikia walengwa ilo jambo lipo kisiasa zaidi
Mjadala wenu kuhusu umeme, majibu yote yapo hapa.. kiufupi REA itatupaisha
Hii ni report ya mpk 30 June, 2020
Mmeiona hio Electricity Access?

Kingine, Zanzbar mteja anaesabiwa ni mmoja tu kama Zanzbar, japo kuna nyumba nyingi ndan ya Zanzbar
 
Mambo yote ya umeme muwe at least mnaniuliza, pengine naweza kuleta au kuulizia data/evidence from TANESCO wenyewe/kitengo cha takwimu.. achanane na data za mtandaon za hawa wajinga akina WB .. TANESCO huwa hawatoi sana data mtandaon (hii ni either uzembe wa maadmn au waandishi wa habar kuulizauliza)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…