Watanzania ndio wanajenga ama Wachina?ππ Don't think we are toddlers here.Wakenya wakifika stage hii ya kujenga meli kubwa kama hii munitag plz ππ
Mwanza south View attachment 2291920
Uliza kampuni ya suma jkt na songoro marine wakupe taarifa kamiliππWatanzania ndio wanajenga ama Wachina?ππ Don't think we are toddlers here.
This one can't even compete with Kakamega
Ukhekhekhe tuoneshe plz nicheke ππThis one can't even compete with Kakamega
sampuli ya mabinti wa ki nairobaa.. kila kitu mwakemwake babaake... au kama vip itakua ni mizuqaπ₯Yechuu, Demu ana upara, meno yameungua na ana ndonga ina forehead kama Bedford!
Huyu ni Demu wa Naiii anaambia kajamba nani hapo Nairobi!
ππ haka kamdanganyika kamechochwa hapa na wakenya kameanza kujiona kaEinstein. But kwangu bado ni kafala flani.Lagos gdp yake pia ni kubwa kuliko tanzania nzima kwahio point yako ni null unless unaamini lagos imeendelea kuliko tanzania. Alafu two rivers hapo SA ni hakika inaingia top 10, nevertheless joburg iko juu.
The super Feo owner is owned by dark skin TanzanianSema Mhindi moja anamiliki mabus zaidi ya 100
Wewe ndio nani unanyanganya watanzania uraia wao? Ulirithi ujinga kuzaliwa au ni mfumo mbovu wa masomo Danganyika?S/he is not a Tanzanian cause when s/he refers anything about Tanzania s/he uses a second-person pronouns. Angalia post zake nyingi tuu.
My other ID is Uhuru n Umoja.You know what? I had to look at your ID. It says you joined JF on 7th July 2020. Well, those who have been here long enough will tell you that that guy Walker255 is a Tanzanian
Uzuri wako wewe ni muungwanaNisamehe sitarudia tena. Hiki kiboko ambacho umenichapa ni kizito sana. SA haistahili kuwa Afrika. Wao wako dunia nyingine kabisa.
Cc Sama boy 255
Kamji kadogo kanakuaje na utajiri wa $48B vs mji wenu mkubwa $55B private wealthy? Inamana basi na huo udogo wake wanazalisha maradufu kuliko nyie wengiHii Pretoria ni ndogo kushinda Nairobi mkuu. Hata ina skyscrapers chache mno kushinda Nairobi. Hata size yake unaweza kuona ni kamji kadogo tu. Sema kako well planned lakini sio kwamba kanaishinda Nairobi kwenye idadi ya skyscrapers au hata kilomita za paved roads. Yaani unless ulete data otherwise hako kakitu ni kadogo sana.
Barabara ya kutoka pretoria kwenda Jozi 8lanes ndio the busiest in Africa yanapita magari Gari laki 3 kwa siku ,Hamna kitu hata kimoja mtawazidiHii Pretoria ni ndogo kushinda Nairobi mkuu. Hata ina skyscrapers chache mno kushinda Nairobi. Hata size yake unaweza kuona ni kamji kadogo tu. Sema kako well planned lakini sio kwamba kanaishinda Nairobi kwenye idadi ya skyscrapers au hata kilomita za paved roads. Yaani unless ulete data otherwise hako kakitu ni kadogo sana.
Dah hawa wakenya wachafu sana hii ni too much sijui inakuwaje mpaka wanafikia hukuHatujasahau lakini[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2291908View attachment 2291909View attachment 2291910View attachment 2291911
Bado taa tu hapo na kukamilisha vilivyobakiaFimbo ya thika highway [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2291912
View attachment 2291913
View attachment 2291914
Watakuambia inajengwa kwenye jua kali wanataka ijengewe ndani ya jengo lenye roof[emoji23]Wakenya wakifika stage hii ya kujenga meli kubwa kama hii munitag plz [emoji23][emoji23]
Mwanza south View attachment 2291920
walidangaywa na blog uchwara kuwa two rivers iko Top 10Tony254 mimi nisionekane kama naongea matope,nimeweka evidence hizi,sasa hesabu mall zote zinazozidi 65k sqm alafu uniambie two river ingeshika namba ngap...
Wao wameweka kwa maeneo yao makubwa kama Johannesburg, Cape Town,Pretoria na Durban View attachment 2291637View attachment 2291638View attachment 2291639View attachment 2291640View attachment 2291641View attachment 2291642
Barabara ya kutoka pretoria kwenda Jozi 8lanes ndio the busiest in Africa yanapita magari Gari laki 3 kwa siku ,Hamna kitu hata kimoja mtawazidiView attachment 2291959View attachment 2291960View attachment 2291961