Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyo karudi tena na shule zake, picha zile zile miaka yote [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe post uswazi zako or better still, Kibera
 
Usambazaji Maji vijijini tuko way better than many countries around Africa including Kenya!
Pengine tu ASAL areas kule jangwani mwa Kenya., kwingine hata miaka mia hamuwezi., bado mnaenda mitoni na visima kwa wingi, danganya vilaza, Tz nimeichambua sana 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Mombasa usilinganishe na Kijiji kama Mwanza.
Mombasa ni Moto ya kuotea mbali
 
Alafu hii Dumpsite unatuonyesha hapa ilikua relocated 3 years ago. Stay updated
 

Attachments

  • images%20-%202022-07-13T171459.628.jpg
    44.2 KB · Views: 20
Shida ya kuishi Google na kuokota picha Hujui tena za kitambo.Tangu siku gani Kisumu ikakua na Matatu za embasava.
Hapa ni Nairobi [emoji1541]. View attachment 2289033
Kisumu kabisa hii, muozo wa kuzimu 😅😅😅

Ninyi watu ni wachafu hata nzi anasubiri nikiingia kwenye nyumba ya mkenya sili chakula chake hata aniue

 
oneni street za mombasa sasa 😂😂😂
najua hawatazionesha
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…