Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Si kweli mbona Ethiopia ina host international organs na ilipata kuwa nchi ya Kikomunisti! Sisi sasa hata airline yetu ipo vizuri sioni sababu kwann tusi-lobby pia! GoT iamke!
 
Yaani Africa's fastest man bado hajapata Visa ya kuenda USA na anastahili kukimbia this Friday? Hawa wazungu wana madharau sana. Wanaogopa huyu Mkenya atawashinda. Kuna Wanariadha kadhaa wa Kenya hawajapata visa bado yet mashindano ya dunia yanayoanza Friday. Upuuzi mtupu.


 
'but this was the main highlighted topic of discussion yesterday in this forum. or wht do u have to say dude...'
🤣🤣🤣, Muoga sana we jamaa, kwahyo umeandika tena kwa kiingereza.? 🤣🤣🤣, Lakini nadhani ni wewe ulieleta report za top 10 GDPs in Africa 2022 (nafkiri ni last month) ambayo ilionekana kuitaja Tanzania with $77 billion (correct me if I'm wrong), tuusan amekuuliza hii figure $65 billion unataja tena right now umeitoa wapi.? au tulishuka tena after a single month.? 🤣🤣🤣
 
Middle East itakua na miji mizuri zaidi duniani in the near future..BAHRAIN 👇.
and much as the arab and the muslim world in general, seems to be the most reserved and the most conservative pple in the planet.. but in the contrary, they seem to be developing the most futuristic and smart cities in the world, than any nation, even ahead of china. note, arab world is home to the tallest iconic structures in the globe🌎 at the moment
 
utajua haujui 🤣🤣
 
Yeah sure, Ila exclude China kwenye hii Hadithi yako, China is on it's levels, there will be no single nation to match China ikija suala la miji mizuri and the larger number of tallest structures, Arab world itakua namba mbili nyuma ya China
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…