LightYagami
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 2,825
- 1,493
Kiswahili cha Bongo ni rahisi kuelewa. Lakini the word kuambuliagi ni jipya kwangu.Sasa lini ironic language na euphemisms zikawa kwenye formal language? That's normal to any language to have such behaviors tena kiswahili cha kibongo ndio hamuambuliagi neno hata moja nimeshafanya research kwenu wakenya.
Nikileta wimbo wa zigo (AY) na Muziki (Darasa) hakuna mkenya hata mmoja ataweza kunitafsiria yale maneno zaidi ya machache ya English
huo ndio ukweli,ilitakiwa nairobi kwa sasa ipambane na capetown au johannesburg.
lakini kwa kuwa bado nairobi ipo nyuma kimaendeo,mpaka leo bado inatolewa jasho na dar,jiji ambalo limeanza kujengeka miaka michache tu iliyopita.big shame.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Manze hio risto ni noma jo, though pia inaeza chatisha stori ya BRT au LRT ju sa lazima kuwe na plan B, kubebesha wadhii CBD.Maze madonda na ma dere wameuma nare design ya fyam juu ya hii plan ya Sonko. .........
nacheki
itakuwa ngori sana wasee wataingiza wira kama wamebeat mbayaaa...
....sheng rocks. ...
Unaota wwDar bado Sana kwa nai
Hahaha L and R sio saw swag au slang stuff mzee, L and R ni common effects from the mother tongue, ukiona mtu kwenye R anaweka L ujue kwenye lugha ya mama yake hakuna R kwenye maneno yao yote and vice versa.understanding bongo is so easy....that's why I like bongo music. only that you shrub in the L and R
Hapa kuna maneno ya slang ya kaskazini mwa Tanzania hasa Arusha na Moshi mnayatumia hasa neno "arif"Manze hio risto ni noma jo, though pia inaeza chatisha stori ya BRT au LRT ju sa lazima kuwe na plan B, kubebesha wadhii CBD.
So Kwangu hio fom ya Sonko ni chwani chwani... Kwa
Arif wetu madere of course zae... Acha tuskize kina Kimutai (matatu association) watadaishaje
Achilia mbali ya ndani neno lenyewe "zigo" unalielewa?Hio wimbo ya zigo siewezi hata kuitafsiri man... What is pugidi pugide, shigidi shigide... Naskianga tu, hasa aki lick D lick Deh
"kuambulia" to at least spot something though in a hard way.Kiswahili cha Bongo ni rahisi kuelewa. Lakini the word kuambuliagi ni jipya kwangu.
porojo.your mental capacity is wanting. ...I am a fluent sheng speaker and can as well use English properly in the office. Sheng is just an urbanized vybe of communication amongst the youth
umesahau arusha imepakana na kenya?Hapa kuna maneno ya slang ya kaskazini mwa Tanzania hasa Arusha na Moshi mnayatumia hasa neno "arif"
Arusha nao wanayo slang yao ambayo watu wa maeneo mengine hatuambulii chochote wakiamua kuitumia thoroughly