Wakenya hatujawahi pinga kwamba Tanzania mumebarikiwa na mwenyezi mungu kwenye natural resources. Tatizo lenu ni lazyness uliopitiliza. Mna mbuga za wanyama nzuri, dhahabu, mazao ya kilimo nyingi kwa sababu ya ardhi yenye rutuba e.t.c lakini bado Kenya inawashinda kwenye gdp na gdp per capita. Yaani mna national parks nne kwenye hii top 25 list ya best national parks in the World na bado nyinyi ni masikini wa kutupwa? Aisee sijui mlirogwa na nani?
Tanzania is home to four travel destinations that have been ranked among the best in the world by TripAdvisor.
Here is the List:
1. Arenal Volcano National Park, Costa Rica
2. Jim Corbett National Park, India
3. Serengeti National Park, Tanzania
4. Maasai Mara National Reserve, Kenya
5. Kruger National Park, South Africa
6. Fiordland National Park, New Zealand
7. Denali National Park and Preserve, Alaska
8. Kilimanjaro National Park, Tanzania
9. Westland Tai Poutini National Park, New Zealand
10. New Forest National Park, Hampshire, England
11. Snowdonia National Park, Wales
12. Banff National Park, Alberta
13. Cilento and Vallo di Diano National Park, Italy
14. Jasper National Park, Alberta
15. Grand Canyon National Park, Arizona
16. Tarangire National Park, Tanzania
17. Ngorongoro Conservation Area, Tanzania
18. Freycinet, Australia
19. Vatnajökull National Park, Iceland
20. Grand Teton National Park, Wyoming
21. Bryce Canyon National Park, Utah
22. Plitvice Lakes National Park, Croatia
23. Chapada dos Veadeiros National Park, Brazil
24. Uluru-Kata Tjuta National Park, Australia
25. Zion National Park, Utah
Cc joto la jiweTanzania Beats Kenya in Best Travel Destinations [LIST]
Tanzania beat Kenya by recording four slots in top 25 positions.www.kenyans.co.ke
infact this is wht always tell them everyday. they don't have any reason as to why they are not number1 in africa, were it not for their laziness and the outdated sociolist system of things.Wakenya hatujawahi pinga kwamba Tanzania mumebarikiwa na mwenyezi mungu kwenye natural resources. Tatizo lenu ni lazyness uliopitiliza. Mna mbuga za wanyama nzuri, dhahabu, mazao ya kilimo nyingi kwa sababu ya ardhi yenye rutuba e.t.c lakini bado Kenya inawashinda kwenye gdp na gdp per capita. Yaani mna national parks nne kwenye hii top 25 list ya best national parks in the World na bado nyinyi ni masikini wa kutupwa? Aisee sijui mlirogwa na nani?
Tanzania is home to four travel destinations that have been ranked among the best in the world by TripAdvisor.
Here is the List:
1. Arenal Volcano National Park, Costa Rica
2. Jim Corbett National Park, India
3. Serengeti National Park, Tanzania
4. Maasai Mara National Reserve, Kenya
5. Kruger National Park, South Africa
6. Fiordland National Park, New Zealand
7. Denali National Park and Preserve, Alaska
8. Kilimanjaro National Park, Tanzania
9. Westland Tai Poutini National Park, New Zealand
10. New Forest National Park, Hampshire, England
11. Snowdonia National Park, Wales
12. Banff National Park, Alberta
13. Cilento and Vallo di Diano National Park, Italy
14. Jasper National Park, Alberta
15. Grand Canyon National Park, Arizona
16. Tarangire National Park, Tanzania
17. Ngorongoro Conservation Area, Tanzania
18. Freycinet, Australia
19. Vatnajökull National Park, Iceland
20. Grand Teton National Park, Wyoming
21. Bryce Canyon National Park, Utah
22. Plitvice Lakes National Park, Croatia
23. Chapada dos Veadeiros National Park, Brazil
24. Uluru-Kata Tjuta National Park, Australia
25. Zion National Park, Utah
Cc joto la jiweTanzania Beats Kenya in Best Travel Destinations [LIST]
Tanzania beat Kenya by recording four slots in top 25 positions.www.kenyans.co.ke
majuu kwa wagandarée, warwandée, bacongolée
Hata mimi huwa ninajiuliza hili swali kwanini wakaskazini hawaweki picha bila filter?Ni wachafu sn, hakuna taifa lenye mauchafu kama Kenya na hakuna mji mchafu hapa Africa kama ka Nairobi, ndiyo maana huwezi kukuta wanaweka picha za ka Nairobi bila filter kama Dar. Yani ka Nairobi kamepauka kweli kweli asikuambie mtu, vieneo vichache wanavyovitegemea ni kwenye vi apartment vya foreigners only.
wakisema BBC ndio hua wanaamini🤣
Sababu tunaeza nunua train zingine lakini hatuezi bomoa station kujenga zingineHua unasema mnauwezo mzuri wa kufikiri lakini naona hapa unapuyanga,Mtu anaenda Station kulala ama kukata ticket nakuondoka?safari ndio inafaa iwe ya muda mfupi na comfortable, kwenye huu mradi nini kiliwafanya mjengo Station nzuri alafu mtumie mitungi?
Hua unasema mnauwezo mzuri wa kufikiri lakini naona hapa unapuyanga,Mtu anaenda Station kulala ama kukata ticket nakuondoka?safari ndio inafaa iwe ya muda mfupi na comfortable, kwenye huu mradi nini kiliwafanya mjengo Station nzuri alafu mtumie mitungi?
Eastleigh wanasemaga posch area . Wakunya mna DNA na uchafuHii pia waseme ni ya kitambo.
Kwa mbali bango la kampeni linaonekana.
Design speed ya mgr haiwezi kua 120km/hr, train itaderail wacha kua mpuziH10 series locomotives ya MGR Tanzania inavuta 100 wagons at a top speed of 120kph. That is equivalent to 200TEUs
Kama huamini chenye unaona na macho yako we ni mpuuzi unafaa kunyanganywa machoMchina mwamba sana anajua kufanya kiini macho kwenye stations lakini kwenye miundombinu ya msingi ambayo haiangaliwi kwa jicho la kawaida bali la kitaalamu huko ndio kapiga ile mbaya.
mbona kama vile umepanic mzee 🤣🤣Tanzania: children malnutrition 2021| Statista
As of November 2021, **** percent of children under five years suffered from chronic malnutrition in Tanzania.www.statista.com
umepanic sasa na unatoka na unatoka nje ya mada mbona 😂😂😂😂Jamani mnaiona water front ya mwanza hio, asante kwa kunipa picha za kutroll [emoji1787][emoji1787]
Hawa watu wako very uncivilised magonjwa yataacha kuwaandama kweli.Hii pia waseme ni ya kitambo.
Kwa mbali bango la kampeni linaonekana.
Hapo ndipo mchina alipowapigia bao walibaki wanashangaa stations wakasahau ku supervise rail [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hua unasema mnauwezo mzuri wa kufikiri lakini naona hapa unapuyanga,Mtu anaenda Station kulala ama kukata ticket nakuondoka?safari ndio inafaa iwe ya muda mfupi na comfortable, kwenye huu mradi nini kiliwafanya mjengo Station nzuri alafu mtumie mitungi?
Mtungi unatoka Nairobi mpaka Mombasa 400k in 6hrrs. Wakati Tz trains Dar mpaka Mwanza 1200km takes 6hrs. Hapo ndio utajua nani kapigwa.Unaona ni ndogo?