Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Gani , labda umenifananisha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Easy lad...

Punguza serengeti.. Maana huwa una amka nazo na kushindia na kulala.. Hasa hasa satoo na Sunday kama hivi.
 
9 July 2022
Unguja, Zanzibar
Tanzania

Travel | Discovering Zanzibar Tanzania | Liv Kenya ( Episode 3)​



Source : LIV Kenya
these ladies were suprized to learn that the famous 'kukumanga' in kenya that affect ladies badly but has no effect to men, can only trace its roots to zanzibar, and nowhere else ...... 🀣🀣🀣🀣🀣🀣


ata wao wenyewe waliadmit kua kukumanga, huwa ina affect sana ladies lakini wanaume, hapana.. πŸ˜†
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Easy lad...

Punguza serengeti.. Maana huwa una amka nazo na kushindia na kulala.. Hasa hasa satoo na Sunday kama hivi.
Im sure si makosa kama nakunywa kwa bill yangu ama its on your bill?[emoji1787]
 
Wapi nimekubali kiswahili kimeanzia Kenya?
 
Mkuu ichoboy01: Me ninaomba kuuliza swali la msingi.Kwa kuwa umepiga picha tena nyingi je siyo za upande upande na kuleta mduwao kwa majirani?

Swali la nyongeza; kwa kuwa picha siyo za upande upande kila picha inajitegemea je huoni utamsababishia heart attack bwana DON YF hapo alipo Mombasa na kumfanya afunge Jf account na kukosa michango yake? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…