KENPAULITE
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,511
- 3,313
Mtu hajawaii toka dar anaongelea Nairobi vibaya[emoji1787] ni wale watz huchukia kenyans for no reason juu ya mababu zao, we knw their handwriting[emoji1787]Nimeshangaa hiyo post yake wakati hata zile mitaa zao za "kifahari" ziko na barabara za vumbi!
2019 data sio?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ubaya wenu ni kwamba hamkubaliani na data kama hizi. Ubishi za kijinga sana. Sasa toa povu basi
Hiyo ni Habari ya 2020 bongolala. We are in 2022!Ukweli huu hapa
Kenya Lauded for Achieving 75% Electricity Access Rate
Kenya has dramatically increased electricity access over the last few years, from 2.3 million connections in 2013 to 8.2 million by the end of April 2021 thereby achieving electricity access rate of over 75%. This was disclosed during the just concluded joint meeting of COMESA Ministers...www.comesa.int
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Unategemea chini ya Magufuli na denialism yake dhidi ya global pandemics waje walete medical facilties Tanzania?Hata Moderna wanajenga vaccine manufacturing plant in Nairobi. Mbona hawakuamua kuijenga Dar is a big slum?
Niletee yenu ya 2022 tuone2019 data sio?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Niletee yenu ya 2022 tuone
Dar is a slum hakuna high mast light hata moja, uswazi ni giza tupu. Huwezi ona mataa kama hizi.
Seriously [emoji848]Tanzania records highest percentage in access to electricity
Energy Minister Dr Medard Kalemani has announced that Tanzania has recorded its highest percentage in access to electricity so far with 84.6% in 2020.www.esi-africa.com
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
After Sri-Lanka Kenya is next, msicheze na watu wenye njaa Kali, wameanza kutishia kutoshiriki uchaguzi ujaoNyomi ya watu inaingia ikulu ya Sri Lanka. Tatizo huyo rais ashatoroka. Ila waibe dhahabu watakazopata huko ndani.
Yani sisi the total number of connections (total number of connected customers/households) imefika 8 million and our access rate stands at 85% currently. Wao their total number of connections is a paltry 2.7m alafu wanaaminishwa access rate yao imefika 84% 😂😂😂😂😂Seriously [emoji848]
Dr Kalemani said the number of villages with access to electricity rose to 9,112 in April 2020 from 2,018 in 2015, reports Tanzania Daily News.
The number of customers connected to the main source of power also reached over 2.766 million, up from 1.473 million, or an increase of 1.293 million new connections.
Hawa jamaa tumewashinda mbali sanaDar is a slum hakuna high mast light hata moja, uswazi ni giza tupu. Huwezi ona mataa kama hizi.
Kumbe ww ni NicxieHii kizungu unashinda ukinicorrect kwani hauielewi pia[emoji1787][emoji1787]
Uganda has also continued performing well on the Electricity Regulatory Index (ERI) which is a report of the African Development Bank, measuring the level of development of electricity sector regulatory frameworks in African countries against international standards and best practice
Kwa vipicha picha vya uongo tu hamjambo.Community. Nairobi's government square.
Multiple id hizoKumbe ww ni Nicxie
Mayb ni hesabu ama kizungu ndio shidaYani sisi the total number of connections (total number of connected customers/households) imefika 8 million and our access rate stands at 85% currently. Wao their total number of connections is a paltry 2.7m alafu wanaaminishwa access rate yao imefika 84% [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
How now? Yani kumdanganya mtanganyika ni kitu rahisi sana, no wonder Magufuli lied to them all that time!
Watu wa south wanaona streetlight na higmast lighting hukaa, hizi kwao ni rareCommunity. Nairobi's government square.
Sasa because weve picked the same thing [emoji1787]Kumbe ww ni Nicxie
Parks zao ndani ya CBD ni giza tupu if at all they have one. 😀Watu wa south wanaona streetlight na higmast lighting hukaa, hizi kwao ni rare