Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

She's only 18, huyu ataenda mbali sana
Safi sana awe na uangalizi wa karibu wa wazazi/walezi na support ya kutosha kwa gvt kwenye kipaji chake atafika mbali sana.Sasa hivi akili yake haina mambo mengi zaidi ya michezo tu.
 
Hapo mayotte na re union panga boy tu zinatosha 😀
 
a very rare view where darslam slighly looks like westlands, lakini bado iko chini kiasi, haifiki levels za west

View attachment 2284781
Daah!! Ni kama New York kabisa ila sio poa dar inajengeka sana just imagine after 10 years dar itakuwaje ndani kuna Arenas,BRT jiji zima,SGR pamoja na tram buses ambazo zinaingia muda si mrefu.......Tutaanzisha battle na Asian countries ila battle ya dar-nairobi itakuwa ni Arusha-Nairobi
 
Fact.
 
hiyo pumu anatosha kifo cha polepole, ya kukatwa kidole kimoja kimoja, maskio kwa makasi, kidungwa macho kwa shindano, kutolewa jino moja moja kwa pliers, kufinywa makende sparingly kwa pliers and so on.....

View attachment 2284747
Sijakuelewa hapa unamaanisha kwamba huyu ndiye amemuua Japan Former prime Minister?
 
Huyu Muhindi (British of Indian decent) anayeitwa Rishi Sunak anagombea kuwa prime minister wa UK. Yeye ndio alikuwa minister of finance (chancellor of the exchequer). Sijui kama MPs wa conservative party watamchagua? Wacha tutaona. Ila Wahindi wamedominate politics ya UK sana. Kulikuwa na Wahindi watano kwenye cabinet ya Boris Johnson.

 
Hawa jamaa wachina kweli hawapatan na Japan.. the state affiliated media wanapost pic kama hii

Even this video
Wajapan waliwatawala wachina, na waliwatesa sana. Hivyo si ajabu Kwa haya.

Ni chuki za toka mababu zao.

Huwa napenda kuwazingua sana.. Mchina namuita mjapani.. [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Anapata moto anaongeaa lugha zote.
 
Wajapan waliwatawala wachina, na waliwatesa sana. Hivyo si ajabu Kwa haya.

Ni chuki za toka mababu zao.

Huwa napenda kuwazingua sana.. Mchina namuita mjapani.. [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Anapata moto anaongeaa lugha zote.
Anaona umemtukana sana [emoji3][emoji3][emoji3]
Wajapan wanamlaumu sana Tojo aliwadanganya na kuwaingiza kwenye vita visivyokuwa na sababu amewaachia chuki kwa majirani zao.
 
Wajapan waliwatawala wachina, na waliwatesa sana. Hivyo si ajabu Kwa haya.

Ni chuki za toka mababu zao.

Huwa napenda kuwazingua sana.. Mchina namuita mjapani.. [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Anapata moto anaongeaa lugha zote.
Lakini Wajapani Waliwauwa sana Wachina kuanzia 1935 hadi 1945. Hebu search Nanjing massacre uone unyama ambao Wajapani waliwafanyia wachina. Waliuwa zaidi ya Wachina 100,000 katika mji wa Nanjing. Wajapani walikuwa ni mashetani wakubwa katika vita vya World War 2 na walifanya mauwaji mengi ya kiholela kwa raia sio wa China tu bali waliuwa raia hata wa Phillipines, Singapore, Burma, Indonesia, Vietnam, South Korea na kadhalika. Walichukua wanawake kutoka South Korea na kuwafanya wawe makahaba wa kuwapa raha wanajeshi wao. Hadi leo South Korea huwa ina uchungu kwa kitendo hicho cha Japan.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…