Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimekuambia uwache kelele mingi. Show me a 3.0 Tesla MRI hapo Ocean Road.

 
Kenya hatukubali manufactured goods kutoka Uganda au Tanzania. Endeleeni kutuuzia raw materials tutanunua. Kaulize Lato milk ya Uganda tulichowafanyia.
Njaa itauma mtanunua tuu hamna jinsi
 
Wako vizuri sana na hata hivyo wamekuwa kwenye recession mda sana
 
hiyo pumu anatosha kifo cha polepole, ya kukatwa kidole kimoja kimoja, maskio kwa makasi, kidungwa macho kwa shindano, kutolewa jino moja moja kwa pliers, kufinywa makende sparingly kwa pliers ivo ivo.....

 
Equipments ndio hizi, The IMIC centre includes a commercial Cyclotron, 2 PET-CTs, a SPECT-CT machine, 256 Slice CT, and a 3.0 Tesla MRI.

Kitu ocean road ikonayo ni PET CT scan moja na maybe a cyclotron machine.
Acha ujinga wewe
 
Slums za Nairobi zipo sehemu specific bongolala and the biggest one measures just over 2.5 square kilometers unlike uswazi hovels zenu zilizotapakaa kila mahali
Ka Nairobi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Japan yuko juu sana next to USA kwa kipato cha mtu mmoja mmoja China bado ni developing country
Hapo sawa kabisa kwasababu ukiangalia maisha yao in reality yako poa tofauti na China hata kama ana uchumi mkubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…