chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,739
- 46,078
Hiyo niliokuonesha ipo dedicated kwa nani?Sijasema wing, it's a common practice for hospitals kua na wing ya watoto. Nionyeshe children's hospital, a hospital that is built and dedicated entirely for children only. Tanzania has no public hospital for children and that's a fact. Kama unapinga nionyeshe moja nifunge account.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kulielewa hilo bogus inakuhitaji kipaji mkuu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Watu wa mitandao wengi huwa less informed na huwa hawataki kufanya research kabla ya kutapika pumba zao.Jamaa hajui anachoongea Dreamliner ya Tz sio -10 ni -8 na haijacost 330mil usd
That's so Tanzania's thingNa wewe umeona eeh sehemu hii ni kama Tz especially Hamidu city [emoji116][emoji116]View attachment 2280863View attachment 2280864View attachment 2280865
Hio ni wing ambayo iko chini ya main Hospital, hata KNH ikonayo. It's not a children's Hospital. Hospitali ya watoto is dedicated entirely for kids sio wing.Hiyo niliokuonesha ipo dedicated kwa nani?
Source Wikipedia.Hio ni wing ambayo iko chini ya main Hospital, hata KNH ikonayo. It's not a children's Hospital. Hospitali ya watoto is dedicated entirely for kids sio wing.
Usinililie mimi, nenda twitter ukatapike nyongo.Hao hawako active, dreamliners zote mbili kwa ss zinaenda na kurudi Mumbai on daily basis from yesterday, pia kuna routes za Dallas zitaanza soon achilia mbali routes za Guanzhou, ofcz ndege za ATCL kwa ss zimeelemewa na mzigo, hazitoshi.
Ndiyo nmekuhabarisha na ww upuuze huo ujinga kwamba dreamliners za Tz co 787-10 ni 787-8 pia hivi tunavyoongea zimeanza kupishana hewani.Usinililie mimi, nenda twitter ukatapike nyongo.
Fursa zinagombania kuja Tz kila uchao, vp kuhusu TAZAMA?
Hao hawako active, dreamliners zote mbili kwa ss zinaenda na kurudi Mumbai on daily basis from yesterday, pia kuna routes za Dallas zitaanza soon achilia mbali routes za Guanzhou, ofcz ndege za ATCL kwa ss zimeelemewa na mzigo, hazitoshi.
Yote haifiki 100MW, treni moja inatumia kama 5MW na pia kumbuka treni zinauwezo wa kuzalisha stima ikitembea.Nmesema give or take..wewe unahisi itatumia ngap ? ..kumbukq inategemea na number ya vichwa , bado kuna marshling yard , kuna ACs kwenye stations , kuna signalling system
Estate mzuri hivi imezingirwa na Mafi!!!Na wewe umeona eeh sehemu hii ni kama Tz especially Hamidu city [emoji116][emoji116]View attachment 2280863View attachment 2280864View attachment 2280865
Haya Juliet na mwenzake Golf hao hapo angani dada Coco reborn una lipi la kusema.
Tanzania media wanapenda sana kutumia picha za SGR ya Kenya. Its a role modelAlafu ilo loco ni la kenya
Dreamliner yenu ilicost pesa ngapi? Halafu mna dreamliner moja au mbili?Jamaa hajui anachoongea Dreamliner ya Tz sio -10 ni -8 na haijacost 330mil usd
Yaani nangoja dreamliner ya tatu ije naona Mbarawa hafanyi mchezo kwenye kusainisha BASA! Tayari ameshasaini na UK, France na US! Wasiwasi wangu tutapewa clearance na tuna ndege chache! Tunapaswa na kuwa na at least 7 wide bodies aircraft na hapo kabla ya daily flights! Order inayofuata itabidi mama afumbe macho! Atenge kama $1 bln!Haya Juliet na mwenzake Golf hao hapo angani dada Coco reborn una lipi la kusema.
Dar real estate is more expensive than that of ka Nairobi according to WB co mm niliyesema hayo so waambie World Bank wabadilishe waiweke ka Nairobi mbele ya Dar's real estate [emoji116][emoji116]Estate mzuri hivi imezingirwa na Mafi!!!
Nani kichwa mzuri anainvest hapa or kununua nyumba hapa jirAni Zako(view) ni za ki1980