Social welfare department upande wa lake zone wana kazi kubwa ya kufanya.sad enough most of them wanatokea Mwanza na surrounding areas! This has to do with the mentality of the families that gave them away! Mbona wasitokee other places? GoT should wake up!
Sasa hivi ATCL ina connect Entebbe na Mumbai.Safi sana kama zina route za kawaida kama klm na swiss air,halafu wazambia,wacongo na wazimbabwe wanaongezeka kwa transit JNIA,ndio maana ATCL imeongeza route za huko
nikiona wale ombaomba wa Nairobi nadhani mama inabidi azikomalie hizi halmashauri za hii mikoa ije na social programs za maana kwa ajili ya walemavu! Dr Gwajima aache kulala kazini!
nikiona wale ombaomba wa Nairobi nadhani mama inabidi azikomalie hizi halmashauri za hii mikoa ije na social programs za maana kwa ajili ya walemavu! Dr Gwajima aache kulala kazini!
ngoja akitumbuliwa watu watapiga kelele humu kaonewa!Dr Gwajima simwelewi maake yuko kimya tu
Mdogo mdogo tutafika tuSasa hivi ATCL ina connect Entebbe na Mumbai.
ngoja akitumbuliwa watu watapiga kelele humu kaonewa!
Hili ni swala la mila potofu pia hukohuko ukatili na mauaji ya wajane, wabibi wazee, wenye vipara, albinos na sasa wenye ulemavu na mfumo dume! Kwani Tanzania nzima watu hawa wako huko tu?Social welfare department upande wa lake zone wana kazi kubwa ya kufanya.
hope hawa watu wamepata kuisoma vizuri..... eti "Traffic Cartels are of Tanzanian nationals."!!78 Tanzanian beggars detained ahead of deportation from Nairobi
78 Tanzanian beggars detained ahead of deportation from Nairobi
Once smuggled in, the children are forced into begging and denied contact with families.www.the-star.co.ke
Tanzania ni LDC by all measures. Nchi ambayo ina export beggars nI LDChope hawa watu wamepata kuisoma vizuri..... eti "Traffic Cartels are of Tanzania nationals."!!
[emoji848][emoji848] tanzania kumbe kweli ni Least-Developed-Economy while kenya ni Emerging Market.... sasa nimeamini kabisa
Wadanganyika na kudanganya. Huku ni Kenya we muongoFROM NJOMBE TANZANIA
Your dreams are our reality.Mdogo mdogo tutafika tu