Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kwasababu hawana barabara nyingi kama za dar😀😀😀😀😀
la hasha...ni sababu Nairobi magari mengi haswa matatu...si uliniaambia niikuletee barabara moja tu toka Nai na urefu wake... nikakuangushia Thika superhighway=50Km ukapotea...
 
kwa hiyo ukubwa wa foleni hapo nairobi,ni ishara ya maendeleo?.
yap...jiulize mbona barabara ni pana ila bado traffic jam zipo...si eti barabara hazipo...magari ndizo zimejaa sana...mtu anataka aende kununua mkate na Prado...mwingine mwanabishara ana matatu 20 barabarani zimletee hela...
 
Nina mashaka na elimu ya wakenya.
 
the way unavyohusisha issue ya jam na maendeleo...hai make sense...poor reasoning.
watu kununua magari mengi haswa Afrika sio maendeleo?? kumbuka hili ni bara linaloonekana na wengi kuwa na umaskini, magonjwa na wanyama pori tu...
 
elimu ya wakenya inaongoza afrika mashariki...huyo mwenzako ana mapungufu ya kiakili nadhani...leo amenyoroshwa viboko na wakenya akaanza mambo ya povu sijui hasira sijui renders...
unaweza ukawa umesoma sana,lakini ujinga ukawa haujakutoka kichwani.zingatia hilo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
unaweza ukawa umesoma sana,lakini ujinga ukawa haujakutoka kichwani.zingatia hilo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
sawa mzee...itakua mimi mjinga lakini wewe mjinga zaidi kunishinda...ama umesahau ulivyojiaibisha hapo awali na mambo ya renders... ukakaukiwa na hoja ukaanza kubwabwaja maneno kana kwamba sijui umerogwa ukirudia rudia povu,renders,hasira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…