Leo utatambea Dar yote kilaza wewe. Ukitoka Tandale nenda Mvuti utuletee picha za mashamba ya mihogo π πππππ Ona nipe 20 mins Tandale ni hapo chini tu, nashuka now upate picha kadhaa, nakukomesha leo mbwa wewe
Utatuonyesha nini kipya wewe, githurai labda tuifananishe na ilala.πππ Ona nipe 20 mins Tandale ni hapo chini tu, nashuka now upate picha kadhaa, nakukomesha leo mbwa wewe
Mnapenda sana kupinga facts. Those are not UN heaquaters. Those are UN offices. There are only four UN headquarters in the worldMbona wana office Maeneo mengi? Hata huko Japan, China etc.
View attachment 2273047
View attachment 2273048
View attachment 2273049
Yani ki ufupi ni kwamba zile mitaa wanaita slum ni bora mara mia kuliko zile uswazi zao. Githurai nyumba nyingi ni self-contained alafu unasikia mtu anasema ni slum. Niambie pale Tandale na ile mrundiko wa nyumba in every little space available you can compare with Githurai that has this level of planningLeo nimejifunza kumbe Githurai sio mbaya sana tukiilinganisha na dar.
Airport yenu terminal 3 ni mpya na ina design ya kisasa, sasa ulikuwa unataka airport yetu ishindane na yenu kwenye urembo? Yetu inaweza kuwa ni nzee ila inawapiga kwenye idadi ya abiria wanaoitumia kila mwaka. Urembo pekee sio hoja ikiwa tunawapiga kwenye idadi ya abiria. Ila hata mimi nataka JKIA tujenge terminal mpya ya kisasa.π waliopo humu hawapendi kusikia vitu kama hiv
And am 1milllion percentage sure ni Muarabu/IndianAh nimekutana nayo twitter pia π
Somen comment
Ngoja tulinganishe [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yani ki ufupi ni kwamba zile mitaa wanaita slum ni bora mara mia kuliko zile uswazi zao. Githurai nyumba nyingi ni self-contained alafu unasikia mtu anasema ni slum. Niambie pale Tandale na ile mrundiko wa nyumba in every little space available you can compare with Githurai that has this level of planning View attachment 2273145
Hii ni githurai ya Kenya ama Uganda.Githurai inayofananishwa na Tandale [emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2273143
Haya maneno yako ni mwiba mkali kwa Wakunya humu bwana Tony japo kwenye idadi ya abiria lazima tuwapige gape mwaka huu, tuko vzr sn.Airport yenu terminal 3 ni mpya na ina design ya kisasa, sasa ulikuwa unataka airport yetu ishindane na yenu kwenye urembo? Yetu inaweza kuwa ni nzee ila inawapiga kwenye idadi ya abiria wanaoitumia kila mwaka. Urembo pekee sio hoja ikiwa tunawapiga kwenye idadi ya abiria. Ila hata mimi nataka JKIA tujenge terminal mpya ya kisasa.
Hio picha ya mwisho ndo inatisha lakini ubaya ni kwamba hapo ni kampala.Githurai [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2273148View attachment 2273149View attachment 2273150View attachment 2273151
Unanililia tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii ni githurai ya Kenya ama Uganda.
Kaumia, [emoji1787] [emoji1787]Unanililia tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ngoja tulinganishe [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2273157View attachment 2273158