Mna maneno mengi ya misamiati ya kiingereza mkidhani kwamba ndio utaalamu kumbe mnafuga upumbavu, hayo majengo yenu ambayo yemekuwa yakiporomoka unayazungumziaje? Hata kama ni battle kubali kushauriwa, nchi yenu iko hovyo sana kwenye usimamizi wa miradi, mnafanya below standard na kuhatarisha maisha ya watu halafu mnakuja hapa kutuletea ngonjera.Elevated roads are so many in Nairobi. Tulianza kuziona wakati bado zilikuwa ndoto huko kwenu. Umewahi sikia hata moja imeanguka? Mnawashwa sana vilaza [emoji23] [emoji23]
Tarehe 7 ya kila mwaka ni siku ya kuadhimisha Lugha ya Kiswahili duniani, nani aliyekipigania,kukikuza mpaka kujulikana na kupewa hadhi ya Kimataifa kama siyo Tanzania?Shauri yenu, your Swahili is not recognized. That's why Kenyan Swahili is used all over, just like hakuna matata.
Halafu ujanja siyo kuwahi bali Kupata. Umenielewa dogo namaanisha nini hapa.[emoji41][emoji41]Elevated roads are so many in Nairobi. Tulianza kuziona wakati bado zilikuwa ndoto huko kwenu. Umewahi sikia hata moja imeanguka? Mnawashwa sana vilaza [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Keshasema ni expansion joint, kwahiyo siyo shida hata kidogo maisha yaendelee watu waendelee kupita tu haitaleta madhara [emoji848][emoji848][emoji848][emoji849][emoji849]
Ndio hivyo mkuu. Hawa watoto wanadhani maneno ya kiinglish ndio uelewa na utatuzi wa matatizo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Ban iliisha eehhh, sasa uwe na adabu.Nairobi gani sioni mathree kwa stage.
Bado unaweka picha za uzinduzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona sisi tunapost picha za maeneo mbalimbali Kenya maeneo kibao yako hovyo na slumish area zipo za kutosha, sasa nyie picha mnazopost za Tz ni hii hii moja wewe na mwenzako mkalee Nicxie wekeni picha za karibu kitu kionekane kama cc tunavyofanya kwa ma slums yenu, pia weka picha tofauti tofauti kama cc tunavyofanya.unajua hapo ni wapi kweli?. afadhali hayo majengo ya residential mitaani sio huu upuzi ambao umetapakaa na kuzunguka jiji lote in 2022[emoji116] [emoji116] [emoji116] .,
View attachment 2271422
View attachment 2271426
View attachment 2271428
Ficha ujinga wako.
I asked you to prove your claims ukashindwa. Utalia hadi machozi ya damu bongolalaBado unaweka picha za uzinduzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]