Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pia huyo jamaa mwaka huo alikuwa ananyonya au hajazaliwa.
 
Muache kujipendekeza ati mutura soldier from KDF went to rescue him! Mko desperate for glory mpaka mna fabricate story! Ati Siad Barre died shortly after! He died 4 years after being overthrown in Lagos.
 
Mnapaswa kumvisha kengele paka (Paul Kagame) kwanza! La ivyo mtapeleka majeshi kule halafu mtazungukwa!

Lkn hapo awali si nasikia DRC ilikataa mshirika huyo asiwepo kwenye mpango.
Nadhani walikuwa sahihi, maana mkipanga wakati adui yenu yupo katikati yenu si ataenda kujipanga sawa sawia na mpango wenu mlioupanga dhidi yake!!
 
Hata Rwanda isipokuwepo wewe unadhani Kagame ataacha kusaidia M23 au kuingiza RDF DRC? Na hao wanaopeleka ni kwa dhumuni gani? Kama si kulinda self interests?
 
Kenyan phrases to the world. Watanzania watasema these phrases started from Tanzania 😂😂

Hata Rwanda isipokuwepo wewe unadhani Kagame ataacha kusaidia M23 au kuingiza RDF DRC? Na hao wanaopeleka ni kwa dhumuni gani? Kama si kulinda self interests?

Ataendelea kusaidia, lkn azipokuwepo kwenye mpango hali itakuwa tofauti. Akiwemo kupanga counter inakuwa rahisi sana.

Dijajua lengo la nchi hizo, lkn cha msingi waende kuwatokomeza m23.
 
Wewe unaamini Ugandan na Kenyan armies wanaiva chungu kimoja? Lets wait and see!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…