Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wamerudi?
Kuna tetesi kwamba wamerudi kuna siku niliongea na mtu wa huko tena mzawa anasema wako wengi, wengine wana vitambulisho vya NIDA,TIN,Wanacharaza Kinyambo hataree, waingie deep maana wengine wana mpaka chanjo ya ndui means wapo kitambo watrace familia hadi kizazi cha tatu maana wako royal na nchi yao,so wanachimba chumvi vibaya mno, sasa wa nini bana.[emoji52][emoji52][emoji52]
 
Wako loyal au royal na nchi yao?
 
cha ajabu wana mazingira wapo kimya ila likija suala la EACOP kelele mob! Hypocrisy ya hawa watu ni level nyingine!

Energy security in a developed world is a very pertinent issue climate protection comes second. In Africa we have not yet attained energy security yet some of us with colonized minds keep on dancing to colonial tunes as afar as Energy sources are concerned.
 
hapo juu,nadhani hilo gari Moja linalopita ni la serikali 😀😂Kajamba nani wapo chini
Hiyo picha ilichukuliwa kabla ya hiyo barabara kufunguliwa rasmi kwa umma. And it's true, it might be a government vehicle and it could be doing an inspection of the road.
What do you have to say about these images of the same expressway?
images - 2022-06-24T221717.718.jpeg
images - 2022-06-24T222751.266.jpeg
images - 2022-06-24T222445.645.jpeg
images - 2022-06-24T222132.057.jpeg
images - 2022-06-24T222035.982.jpeg
images - 2022-06-24T221820.184.jpeg
 
Shortly before his death in 1991 Somali third President Gen. Mohamed Siad Barre sought refuge in Kenya. Thus, arrangements were made how to rescue him from the hands of militia and airlift him to Nairobi. The rescue mission fell in the hands of Captain Jammies Nyongesa Wafubwa. How did he execute this mission? Nissie Imano had a sit down with Cap Wafubwa and filed the following report for this Week’s episode of ‘Military Tales’. #MilitaryTales

Hiyo picha ilichukuliwa kabla ya hiyo barabara kufunguliwa rasmi kwa umma. And it's true, it might be a government vehicle and it could be doing an inspection of the road.
What do you have to say about these images of the same expressway?
View attachment 2270967View attachment 2270968View attachment 2270969View attachment 2270970View attachment 2270971View attachment 2270972
Hizi picha umeweka umezitoa mtandaoni na ni picha za siku ya uzinduzi, gari zilikuwa zinapita bure, weka picha ya leo uliyopiga kwa mkono wako, kwnn ukweli huwa unakuumiza sana?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ubaya unabishana na mimi na wewe upo Tandale. Ni nani alikuambia kwamba siku ya uzinduzi gari zilikuwa zinapita bure? Ama ulisoma wapi? Can you prove your claims bongolala?
 
Ubaya unabishana na mimi na wewe upo Tandale. Ni nani alikuambia kwamba siku ya uzinduzi gari zilikuwa zinapita bure? Ama ulisoma wapi? Can you prove your claims bongolala?
Mm nshakuambia hiyo ilikuwa siku ya uzinduzi na gari zilipita bure, sasa kazi kwako wewe unioneshe risiti kwamba gari zililipa.
 
Mm nshakuambia hiyo ilikuwa siku ya uzinduzi na gari zilipita bure, sasa kazi kwako wewe unioneshe risiti kwamba gari zililipa.
Can you prove your claims bongolala kwamba magari zilikuwa zinapita bure? Were you in Nairobi hiyo siku na ukashuhudia ama ulikuwa tu zako Tandale kwenye dreamhouse yako yenye bati iliyochakaa?
 
Can you prove your claims bongolala kwamba magari zilikuwa zinapita bure? Were you in Nairobi hiyo siku na ukashuhudia ama ulikuwa tu zako Tandale kwenye dreamhouse yako yenye bati iliyochakaa?
Proof yangu hii hapa baada ya tozo kuwekwa 90% ya gari zilipita chini mpk leo barabara ni nyeupe, ukibisha weka risiti ya gari yako kupita na hela cku ya uzinduzi, tazama hali ilivyo baada ya tozo kuwekwa, mpk tunavyoongea hali iko hivi [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
tapatalk_245398174_720x596.jpg
 
Najua ukweli huwa unauma sana ila zoea, ishi nao utapona machungu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Gud night [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom