Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Acha upuuzi I dont entertain mediocre arguments.
 
watu wa kudandia helicopter lazma wawekewe fence! Akili yao wanaijua wenyewe wanaweza taka kudandia racing car!
Hawa watu wana dhiki sana wanadandia mpaka ndege hadi ulaya. Kudandia Helicopters na racing cars ni vitu vya kawaida kwao.
 
Muhimu hapa ni kwamba tunawanyanyasa na kuwatesa ili msifikirie kuja Tanzania, kutokana na shida na njaa zenu, malazimisha kuja na mumeamua kukubaliana na mateso mnayopata. Kumbuka Tanzania ndio inaongoza Afrika kwa wakenya kutuma "remittances" Kenya, bila Tanzania wakenya hamuwezi kusaidia familia zenu nyumbani

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna mkenya ataishi Tz na aiponde ukiona hivyo huyo hajawahi fika Tz, si unaona KENPAULITE anaijua Tz vzr na huwezi kumsikia akiiponda, hata akiponda unaona kabisa co kutoka moyoni, ila kuna watanzania wamefika Kenya na hawataki kabisa kuisikia.
Sasa mbona unashikwa na nyege kwa vitu za Kawaida? Kwani mtu kusema barabara iko na street lights ni big deal sana kwako! Inferiority complex itawaua mibongolaa
 
Hujawahi kupiga picha kwa mkono wako hata siku moja zaidi ya ile uliyojipiga mwenyewe, au nikuwekee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unasema sijawahi piga picha na mkono wangu and at the same time unasema kuna pichangu niliweka huku. Assuming ilikuwa ni yangu, sasa niliipiga kutumia nini? Miguu?

And then fuatilia mjadala bongolala, we were talking about a totally different thing
 
Sasa mbona unashikwa na nyege kwa vitu za Kawaida? Kwani mtu kusema barabara iko na street lights ni big deal sana kwako! Inferiority complex itawaua mibongolaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Bongolala, hizi vitu zote umetaja are summed up in something called Human Development Index. Last time I checked, tulikuwa tunabembea mbele yenu kama kawa. Next?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…