Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
na hizi emoji ndugu ndio umezi disocover juzi ama? yaani unazitumia sana haswa zile za kupiga makofisikufiri kuwa wakenya mnaniogopa namna hii.
yaani kupost picha za barabara tu,wote mmejikusanya pamoja kuunganisha nguvu ya kupambana na mimi mtu mmoja.smh.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]