Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kumbe uliona alichokiandika [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Sasa unanitorture aje na sina kenyan plate[emoji1787], you dont stop living because people hate you, there are better things to do
Kwanini mnalazimisha kuja Tanzania?, sehemu ambayo unahisi kwamba wakigundua wewe ni Mkenya lazima wakusumbue unapaswa kuachana nayo usiende huko.

Hii inanikumbusha malalamiko ya waafrika kubaguliwa na kunyanyaswa huko Europe, lakini bado wapo tayari hata kupoteza maisha Yao wakijaribu kuvuka bahari kwenda katika nchi ambazo zinawanyanyasa [emoji1][emoji1][emoji1]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kenya wao kitu muhimu ni malls tu

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ni wa kupuuzwa hujui una post nini hapa.
 
The same has happened to me in Kenya with Tanzanian number plates at langata roundabout and embu thika highway junction.
 
Sasa unanitorture aje na sina kenyan plate[emoji1787], you dont stop living because people hate you, there are better things to do
If you have decided to come to hostile country, then you must be ready for any eventuality and stop useless allegations and complains.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Yaani uwe founder wa lugha ambayo inakusumbua . Sifa za kijinga wakunya
nairobians stereotype bongolalas kaa washamba sana.. bongo nyinyi ni washamba.! nairobi urbanlife is say 30yrs ahead of u pipo. hiyo nayo lazma kieleweke.!


 
Mchawi wa Kikunya na ramli chonganishi baada ya Project Loliondo kushindwa! Tuwapende kwa lipi zuri mlilofanya? kujaribu kutuchonganisha na Wamasai ndugu zetu kwa kuwalaghai ndugu zao ni Masai wa Kikunya?
Na mpaka kwenda kutuchongea huko nje kisa wanatafuta sifa ilimradi kuharibu image ya Taifa letu. Hawa watu wanatafuta kuharibu industry ya Utalii wetu baada ya kuona watalii wanakuja kwa wingi. Tuwe nao makini sana si wema kwetu.
 
Wewe kaa comfort zone peke yako, wacha tubaguliwe ni hali ya maisha tutaevolve tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watanzania kwanza wa hapa jf hutamani sana kuja Kenya. Jealousy is the first sign of envy.
Kiukweli mimi ninataka kuiona hiyo Kibera, watu wanavyoishi, hali zao kwa ujumla, kula yao, maji safi yapoje, wanalala vipi katika hayo mazingira, zile nyumba za bati zipo kweli Nairobi? Nikijiridhisha nipitie Karen nitoe pole zangu nirudi zangu Bongo kuendelea na maisha kama kawa. Msimu wa mavuno ukiisha tu nakuja kujionea maajabu ya slums za kunyaland [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…