Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So tusiwaamini wanaofanya research miaka na miaka wakaja na conclusion kwamba Kenya kila mtu mwizi, ila tukuamini wewe, na ile video ya mchina inayoonesha kila mtu mwizi ka Nairobi nayo pia tusiiamini but tukuamini wewe mwenye ushuhuda wa polisi mmoja [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
So umeshatoka Mombasa now ni Mombasa and ka Nairobi vs Dar [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Disgusting police. Mimi naamini chenye nilishuhudia.
Especially na hao wanaovaa uniform za white lakini chafu.

And the harassment is targeted at Kenyans. Not locals. Kwa msururu wetu, only the Kenyan cars got stopped every few kilometers for targeted harassment.
Na hongo wanataka kwa shilingi ya Kenya, sio hio yenu ya madafu.
 
🀣🀣🀣
 
So umeshatoka Mombasa now ni Mombasa and ka Nairobi vs Dar [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hehe kamepanick, hapo sijaingiza nairobi, hivyo vitu vyote viko Mombasa, je dar slum vipo?
 
Hehe kamepanick, hapo sijaingiza nairobi, hivyo vitu vyote viko Mombasa, je dar slum vipo?
Nimekwambia ka Nairobi kana afadhali, ukija kwenye real estate usiguse kabisa ka Nairobi kanachezea dudu, sio mm ni World Bank maneno yao [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa nenda uwaambie recognized bodies like IMF, and WB wabadilishe waiweke Dar mbele ya ka Nairobi linapokuja suala la corruption [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kanachekesha kweli kweli, hapo kutukana kanatamani ila hakawezi mana tutakasemea kapigwe ban, na nmeshakaambia kakizingua this time kanapoteza na I'd hii, sisi ndiyo wenye JF yetu hakuna mbwa wa kutupangia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
nyali nyali πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nyali ipi inayopatilana newyork au ile ya pale kwenye ushuzi wa kondoo
 
Ka Nairobi ni kadogo kweli kweli, yn vipicha vyote vya upande upande vinavyowasumbua watz vichwa panzi vinatokea hapa kwenye haka kaeneo kadogo, yn Watz vichwa panzi wanaoropoka ropoka humu wanazinguliwa na vipicha vya kujirudia rudia kutokea hapa. Kuna mtz kichwa panzi mmoja karopoka huko juu eti ka Nairobi kamejengwa eneo kubwa kuliko Dar, yn karopoka mpk wakenya wenyewe wameogopa kumkot.

Naomba Watz vichwa panzi huu uzi umetoka mbali, cc humu tunaokesha kwenye huu uzi ndiyo tunaijua hii miji nje ndani, mfano mm sijafika ka Nairobi na sina mpango wa kufika hivi karibuni ila huniongopei kabisa kuhusu haka kamji, nakajua nje ndani, sasa nyie Watz vichwa panzi hamshindi humu kwenye huu uzi tafadhali sn msipende kuropoka ropoka vitu usivyovijua, wewe jukwaa lako ni MMU basi baki huko tuachie huu uzi mana na cc hatuchangii huko kwenye nyuzi zenu mana hatujui kinachoendelea, mambo yako ya siasa maji taka nenda ukayamalize kwenye nyuzi zenu huko msije humu mana mnaropoka ropoka vitu msivyovijua.
 
This
View attachment 2267523

Versus this
View attachment 2267549
πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
hebu ngoja tuzoom tuone ww na mzungu nani mwenye akili zaidi πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
1st pic magomeni kagera





another pic mburahati πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡






ngoja sasa tuangalie kwann mzungu aliona slums za dunia nzima ila hakuona za tanzania πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
mavi ya kondooo
 
tuoneshe na hzi streets plz πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
ukizipata nitag plz
 
Mkuu ukisikia wanaiongelea Mombasa dhidi ya Dar usistuke na wala usiwape air time, wewe piga ka Nairobi tu, Mombasa ni mji wa zamani sn kama Bethlehem ya Jesus, huwezi kufananisha ka Nairobi na Dar mji wenye modern infrastructures. Nakuambia hivi, hakuna mji wowote wa kisasa duniani ukakosa kuwa na modern infrastructures kama electrifitried SGR au tram, yn modern cities zikikosa electrifitried SGR ujue zina trams.
 
hebu tusaidie hii picha ya mwisho hapo ni wapi πŸ‘‡πŸ€£
 
Heheheheeee wamekimbia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…