Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Its true dar has informal settlements lakini sio maeneo mawili tu yako planned..

Upanga
Mikocheni
Masaki
Oysterbay
Mbezi beach
Kariakoo
Posta
Some parts of Kigamboni
Some parts of magomeni
Some parts of Goba
Some parts of Sinza and Kijitonyama
Mbweni
Goba
 
Kubali hamna ship building facilities, hii hapa si ni Dar, songoro marine transport.


wapi hapo? Huyo ni private ship builder ana tender nyingi kuliko kampuni yeyote EA! Ana shipyards tatu Mwanza, Dar na Uganda!





 
Its true dar has informal settlements lakini sio maeneo mawili tu yako planned..

Upanga
Mikocheni
Masaki
Oysterbay
Mbezi beach
Kariakoo
Posta
Some parts of Kigamboni
Some parts of magomeni
Some parts of Goba
Some parts of Sinza and Kijitonyama
This is Magomeni. I don't think if this qualifies as planning in my view
 
Kwa hivyo wewe hujui tofauti kati ya scheduled maintenance na power blackout? Hata Marekani na Europe huwa kuna scheduled maintenance. Nyaya za umeme lazima ziwe maintained na vikingi vya umeme pia. Hii sio blackout kwa maana mnaambiwa wazi mapema sana kwamba siku fulani umeme utazimwa kwa masaa fulani. Black out kama yenu huko Tanzania unakuta umeme unapotea wenyewe. Tatizo la umeme kupotea wenyewe bila kuzimwa na Tanesco ndio inaitwa blackout. Kuna tofauti mkubwa kati ya umeme kuzimwa na umeme kupotea wenyewe.
 
wapi hapo? Huyo ni private ship builder ana tender nyingi kuliko kampuni yeyote EA! Ana shipyards tatu Mwanza, Dar na Uganda!


The biggest private ship builder ni SECO wewe wacha mambo yako na hata facilities hamna. Meli inaingizwa ndani ya maji na rollers za jua kali. 🤣 🤣 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…