The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 99,002
Asante kwa kukubali kwamba tunawaacha mbali mno kwenye ligi.Rankings za FIFA haizingatii local league performance bongolala. If that's the case, England would be ranked number one in the world but it isn't. Rankings only consider performance ya national team. Umesikia kilaza?
Heb twende tulinganishe Arusha CBD with that little village center of the so called Kisumu City.. here is Arusha CBD 👇Haitawezana na Kisumu kivipi wakati picha za Kisumu tukiweka humu hamuamini macho yenu mnashinda mkizikana!? 😂 😂
Mimi ninachokijua ni kwamba kitu Arusha inashindia Kisumu ni mahoteli tu, and this is by virtue of it being EAC's capital. Besides that hakuna kitu kingine.
Kwani bado unataka kushindanisha kisumu na Arusha? Twende ground?Haitawezana na Kisumu kivipi wakati picha za Kisumu tukiweka humu hamuamini macho yenu mnashinda mkizikana!? [emoji23] [emoji23]
Mimi ninachokijua ni kwamba kitu Arusha inashindia Kisumu ni mahoteli tu, and this is by virtue of it being EAC's capital. Besides that hakuna kitu kingine.
Being a capital/heaquater of anything is no big deal kijana. Dodoma is your capital city, is it developed or better than Dar?Sasa we jamaa una confess kabisa kwamba Arusha is EAC's capital then uko hapa unaminyana kuilinganisha nA Kisumu village center, ar you mad or something.?
Jua kali type, wheres the slipway ama ikiisha itabebwa na crane mpaka kwa maji.
Picha za ground ndio mlishakataa si za Kisumu sasa unataka nini tena?Kwani bado unataka kushindanisha kisumu na Arusha? Twende ground?
Maneno mengi situmii, jitetee kwa picha au video au kubali hii vita sio size yako.. DOM is our capital and it's still underway, it's coming ndio kwanzaa imeanza kujengwa rasmi 2017..Being a capital/heaquater of anything is no big deal kijana. Dodoma is your capital city, is it developed or better than Dar?
I said it beats Kisumu in hotels because it is the the heaquaters of the EAC. Read to understand
kwani hiyo meli imekaa kwenye nini? over 3 ships r U/C at Mwanza port!Jua kali type, wheres the slipway ama ikiisha itabebwa na crane mpaka kwa maji.
We mpuuzi wa kutaka kujilingasha Zanzibar na lamu, nilikua nakutafuta sana we mbwa, hapo kwenu kenya sio lamu tu, hata hiyo Mombasa or any other town in kunya land haziwezani na Zanzibar when it comes to real estate development na hotels, ukibisha twende ground alafu nitakushauri utumie miji yenu yote hizo towns VS Zanzibar aloneJua kali type, wheres the slipway ama ikiisha itabebwa na crane mpaka kwa maji.
We fala nn kwani hapo iko wapi.Jua kali type, wheres the slipway ama ikiisha itabebwa na crane mpaka kwa maji.
Hizo za ughaibuni zinapakiza abiria?Hiyo ni tamaduni ya Kisumu. In fact, the word boda boda ilianzia hapo Kisumu kabla ya kuenea maeneo mengine hadi sasa imefikia ughaibuni.
View attachment 2264054
If you thought this would help you defend your brothers who have been wowed by Kisumu pics to the point wanazikana then you are wrong!
Ngoja nichangie kidogo hapa..mana football/soccer is my fav hobby 😅..Rankings za FIFA haizingatii local league performance bongolala. If that's the case, England would be ranked number one in the world but it isn't. Rankings only consider performance ya national team. Umesikia kilaza?
Mkuu naomba usijibu tena mapunguani, we unawezaje ku engage in battle ya Tshs 600mil vs Tshs 40mil.Ngoja nichangie kidogo hapa..mana football/soccer is my fav hobby [emoji28]..
Rankings za FIFA zinatokana na matokeo ya mechi za timu za taifa kwenye calender ya FIFA (yan hizo mechi zinaratibiwa na FIFA)..most times timu za taifa zinafanya vizur sababu ya uzoefu wa wachezaj kimataifa.. mfano Brazil iko juu ya England kirank za FIFA lkn league ya England ni kubwa, maarufu na yenye hela kuliko league ya Brazil..
short point ni kuwa hata wachezaj wenu wako tayar kuja kucheza ligi ya Tanzania kuliko kubaki kenya.. sababu ligi yetu ina hela na interests kubwa kuliko yenu.. so ligi yetu ni kubwa na tajiri kuliko yenu..thats the point inayozungumziwa humu ndan
Nakumbuka Azam tv walipotaka ku-sponsor league ya Kunyaland lilizuka zengwe mpaka waka-withdraw ati kiasi kidogo! saahii wanalipwa Tshs 48 mln kama title winner na hamna TV iliyojitokeza ku-sponsor that rickety league mpaka sasa! IMAO!Ngoja nichangie kidogo hapa..mana football/soccer is my fav hobby 😅..
Rankings za FIFA zinatokana na matokeo ya mechi za timu za taifa kwenye calender ya FIFA (yan hizo mechi zinaratibiwa na FIFA)..most times timu za taifa zinafanya vizur sababu ya uzoefu wa wachezaj kimataifa.. mfano Brazil iko juu ya England kirank za FIFA lkn league ya England ni kubwa, maarufu na yenye hela kuliko league ya Brazil..
short point ni kuwa hata wachezaj wenu wako tayar kuja kucheza ligi ya Tanzania kuliko kubaki kenya.. sababu ligi yetu ina hela, interests kubwa na maarufu kuliko yenu.. so ligi yetu ni kubwa na tajiri kuliko yenu..thats the point inayozungumziwa humu ndan
Mwamba kama mwamba.I am 100% sure that you are in heaven. Mm nawaambia kama nikifa nitamkuta John pombe Magufuli jehanam basi mm nitaongoza moja kwa moja motoni sitasubiri mana itamaanisha duniani ukitenda wema unaenda motoni.View attachment 2264066View attachment 2264067View attachment 2264068View attachment 2264070View attachment 2264071View attachment 2264072View attachment 2264076View attachment 2264077View attachment 2264080View attachment 2264085View attachment 2264087View attachment 2264089View attachment 2264090View attachment 2264092View attachment 2264095View attachment 2264096
Difference ni Tsh 560mil [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu naomba usijibu tena mapunguani, we unawezaje ku engage in battle ya Tshs 600mil vs Tshs 40mil.