Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Attachments

  • zanzibardrones_1655300682718996.jpg
    222.2 KB · Views: 28
  • zanzibardrones_1655300682718571.jpg
    202.2 KB · Views: 24
Compare and contrast..,
Banda la kuku.., looks like a shopping centre, yaani maduka in one street[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 2263805

View attachment 2263807
JKIA
View attachment 2263806

View attachment 2263808
Eti eehh, kitu bila filter, vumbi airport. Hakuna siku JKIA italinganishwa na JNIA interms of beautifulness, hii ni mara ya mwisho sita engage kwenye battle ya JNIA vs JKIA never [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Juzi nimepita hapo airport nataka kukuachia mrembo mmoja wa 254 sikukuona[emoji23][emoji23]
Hebu niambie ulipanda ndege gani huenda nilikuhudumia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Uchumi wa mchongo TU huo Kuna vinngi having GDP kubwa lakini watu wake maisha ni Bora.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] next time naingia na last flight ya kq basi
Nistue ukija alafu unijue nikujue, mana huenda nikawa namkazia mtu kitu kidogo kumbe namjua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wanyama wakubwa wanne wamejipanga, hapo mbili zilikuwa zinaondoka at par, R.I.P Magu jitihada zako hatutozisahau kamwe, kama sisi tutakutukana kipo kizazi kitakuimba na kukusifu kama wewe ulivyomuimba baba wa taifa.
 
Kumbe Mombasa cbd is that big! I had no idea. Halafu utaona vilaza comparing it with kijiji cha Mwanza. Joke of the century!
 
South C estate bodaboda risers wengi ni watanzania, alafu wanaishi kwa slums, they can't afford even a bedsitter, [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yan mtanzania aje kuishi kwenye slum Kenya? Amefukuzwa hku au[emoji28][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…