Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Miji zao mingi hukaa vumbi tu, they dont come close to kenyan towns wacompare na za uganda
Vumbi Kenya linaanzia ka Nairobi usijifanye mwehu, tangu lini miji ya Tanzania ikawa na vumbi, Kenya hakuna mji hata mmoja ukakosa vumbi no wonder gari zenu huwa zina vumbi mda wote hata ikiwa CBD [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mbona hata kibaki alikua anakung'utwa na mama Lucy? Au habari huna?
Kupigwa na bibi na kupigwa na Boss zote ni upuuzi. Lakini kwa maoni yangu kupigwa na Boss ni upuuzi zaidi kwa maana unaweza kuwacha hio kazi na kutafuta kazi nyingine. Bibi kumwacha kunawezakuwa na ugumu ikiwa kuna watoto kwa ndoa hio. Anyway hata Moses Wetangula alitandikwa na bibi kisha akaenda police station kureport bibi yake. Hahaha nakuambia kuna wanaume wanyonge sana huko nje.
 
Haya mambo yapo complex sana kudeal nayo sababu ni shuruba ambayo mpaka kiongozi wa nchi kaionja, workplace and domestic violences kwa wanaume wa kenya inahitaji uwekezaji mpana ili kukabiliana nao sababu una mawanda mapana, Wababa wa kenya wanagugumilia ndani tu kulinda haiba zao lakini wengi wao wanaonja fresh ya Shamba makazini na majumbani
 
Hii ya wanaume kupigwa na wake zao najua inafanyika hata huko Tanzania. Hata uzunguni upo. Kwanza wanawake wa kizungu ni wabaya sana. Wao wanajua rights zao na huwa wakali sana kwa wanaume wao. Huwezi kumwambia lolote. Afadhali hawa wanawake wetu wa kiafrika ni wapole. Mimi nakueleza tu nilichoona huko nje. Wanawake wa kizungu wapo very empowered, ukimpiga slap moja anakupeleka kwa polisi.
 
Umasikini mbaya sana. Anakula kichapo ametulia kama mtoto wa shule, akifikiria kurudisha anaona hana kazi familia itaiishije. Ila kutunza uanaume wako hapo hakuna kufikiria mara mbili mbili bora nifukuzwe lakini utu wangu nimeulinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ