Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapa ndipo huwa wanapiga picha za upande upande alafu wanaongopea watu, sasa oneni jinsi palivyo, nimewawekea one place in different angles muone uongo wao, yn tu maendeleo ni kidogo sana tu ghorofa tuwili tutatu twa mchina basi kelele kibao, ona [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hizi nyumba ndogo za squatters katikati ya jangwa ndio unataka kufananisha na mansions za kisumu. 🤣 🤣 🤣 Zima hio kitu.

Nilifkiri ungeleta kitu zaidi ya hiki, kumbe umekuja na maneno matupu 😂😂😂 zikiwa NAIROBI nyumba kama hizo zinakua ni nyumba tu kawaida and u ar bragging of having them, lakini kwasababu sahii zinaichapa Kisumu ati ni squatters 😂😂 very funny
 
Nairobi gani watu wajengewe nyumba tudogo hivyo nikama nyakati za ukoloni. 🤣🤣🤣
 
Yani ka Nairobi kanatia aibu, eneo lote hilo barabara mmoja pekee na bado mlevi anawadanganya eti kajenga km 10,000 ona only one road [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2262257
Umeona kilimani na Parklands wapi hapo, hata nusu ya westlands haipo. Kanairo huwezani nayo bana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…