Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,709
Ukitoa interchange ni kitu Gani kingine Kisumu inaweza shinda hata ARUSHA usitaje Mwanza hovyo hovyo bila kuwa na adabu..? au ni pavement kwenye walk ways.?Kisumu imeshinda Mwanza and Arusha in almost everything.
Mambo ya maintenance hata Lake Victoria na Lake Tanganyika yanafanyika! We have more shipyards than Kunyaland!Sasa hii utasemaje, na ujue hii sio product from our biggest shipyard in SSA. Hii ni ya private investor in Mombasa. Watu wanacheza na chuma wewe unatuonyesha boat za fibre glass, ambayo hata vijana wa mtaa wanaweza unda. 🤣 🤣 🤣 🤣
Cruise port haina hata terminal. Hizi awards zinatolewa kwa kura sio kwa merit.Dar Es Salaam port iliwanyoosha wakunya.
View attachment 2261730
Nenda kalalamike kwa waandaa tuzo mwehu wewe 😂😂 ulikua unapiga kelele zisizo na faida, Dar Port kumbe umeshawahi shinda tuzo ya Africa nzima 😂😂Cruise port haina hata terminal. Hizi awards zinatolewa kwa kura sio kwa merit.
Wacha kupotosha umma. Hiyo unayokataa ndio ya Dar and here is the proofHhii Ikulu ya Zanzibar ya Dar na Dodoma ni hiiView attachment 2261816
Sidhan kama uko vizuri kiafya au kiakili. Ila mojawapo kuna kasoroWacha kupotosha umma. Hiyo unayokataa ndio ya Dar and here is the proof
View attachment 2261915
Ya Zanzibar inafanana hivi ila zote Misikiti tu View attachment 2261912
Hii mpya unaijua kweli?l
wacha kelele wewe! Mpo nyuma sana kwa water transportation! there are only 3 waterbuses! hiyo 5 million ni tangu waanze ku-operate!
View attachment 2261884
Arusha Iko na soko?Ukitoa interchange ni kitu Gani kingine Kisumu inaweza shinda hata ARUSHA usitaje Mwanza hovyo hovyo bila kuwa na adabu..? au ni pavement kwenye walk ways.?
Unatumiaga matako kuangalia au?Hii mpya unaijua kweli?
Hii Mageta pia unaifahamu au unaropokwa tu.
Nionyeshe cruise terminal dar port niondoke Jf.Nenda kalalamike kwa waandaa tuzo mwehu wewe 😂😂 ulikua unapiga kelele zisizo na faida, Dar Port kumbe umeshawahi shinda tuzo ya Africa nzima 😂😂
*In AfricaOfficially the cleanest town in Kenya
Architectural designs kwenye majengo yote ya ikulu za Africa kama sio za kichina, ni za kiarabu au za kizungu, sasa architectural design ya ikulu ya magogoni ni ya kiarabu, then what's the problem.? Are you crazy.? 👇 Umia vizuriWacha kupotosha umma. Hiyo unayokataa ndio ya Dar and here is the proof
View attachment 2261915
Ya Zanzibar inafanana hivi ila zote Misikiti tu View attachment 2261912
hilo title lina confuse kweli. ila jina sahihi la hili uzi, linafaa liwe "Kenya vs tanzania in all aspects"Katika nyuzi nisizopenda huu ni namba Moja. DSM Nairobi so what
Sasa watanzania unatuuliza kuhusu masoko we mwehu.?Arusha Iko na soko?
Kwanini tuitoe hio interchange na iko kisumu.Ukitoa interchange ni kitu Gani kingine Kisumu inaweza shinda hata ARUSHA usitaje Mwanza hovyo hovyo bila kuwa na adabu..? au ni pavement kwenye walk ways.?
Wacha hasira, nimeuliza kama hii mpya unaijua? 🤣 🤣 🤣Unatumiaga matako kuangalia au?