Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkuu Kadoda ushawahi pata view ya hiyo project kwa kutokea maeneo ya ''kijichi mgeni nani'', i wish uione, ni bonge moja la view asee, yani unakua kwa juu kidogo then huo mradi upo kwa chini ng'ambo ya pili, i was there last weekend, dar hii sio ya miaka ile asee.
kaka,
nilitembelea leo maeneo hayo ya kijichi-mgeninani,hakika mambo ni moto moto sana.
nilipigwa na butwaa kwa munekano mzuri niliouona wa apartment za nssf.

sipati picha daraja likikamilika....itakuwa ndio shortcut yangu ya kwenda kula bata kigamboni nikitokea tabata.
 
Asante uganda😀😀😀😀😀
IMG_0097.JPG
 
Hua munanifurahisha nikiskia tsavo ndio national park kubwa kenya alaf in sqkm13000😀😀😀😀😀
Kwa sqkm hzo kwa tanzania hio ni national park ya 5 au ya 6 kwa ukubwa sasa imagine kwa akili yako tungekuwa tunagawa national park za kmsq hzo tanzania kungekua na national parks over 60
tsavo is 22000 km square
 
Thank you for appreciating my grandma prof.Julia ojiambo ,also research about my late grandpa prof.peter witts ojiambo .the first person to operate heart in Africa.
 
Mungai alisoma moshi secondary advance miaka iyo na kuweka historia ya division one point 3 ilikua PCB combination alipata A flat kumbe sio mtz? ??
6622756bdbef4a6f23dee63b53a99606.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom