Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sheria ya PPRA serikali hawaruhusiwi kununua secend hand kwa matumizi ya wananchi , ngoja tuone mbivu na mbichi lakini kama wamenunua mtumba watakua wamezingua big time, maintenance cost itaenda firisi hao TRC mapema tu
 
Hii vipi, tunaomba maoni yako tafadhali

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Napost Ili uone ulivyo mjinga ku argue na old facts,,kweli huwa mnatumia 1% ya akili yenu,,Hanna akili nyinyi,,ndyo maana uswazi wa dar ni middle class yenu🀣🀣
Hautaiokoa hii stinky shithole pipeline kwa machozi humu JF muheshimiwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ng'ombe kameza taka mpaka zimempenda 🀣🀣🀣🀣
πŸ‘‡

 
Miezi kadhaa nyuma mlikua mnamsifia wakunya kua mama yupo fair leo mnamgeuka . Dah hata sielewi sasa
Kenya hawezi kuelewana na jirani yoyote, hata Mungu akiwa ndiye jirani Yao pia watakorofishana naye. Hawa watu walishindwa kuelewana na Nyerere, hawezi kuelewana na kiongozi yeyote hapa duniani, Magufuli pekee ndiye aliwaweza hawa wapuuzi; Endelea kupumzika kwa amani kamanda wetu, tutakukumbuka Daina kwa jinsi ulivyowatia adabu hawa wakunya

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Huyo ni Mkenya anayeongea upuuzi kwa matarajio ya kulipwa fedha
 
Pipeleine 2022., haudanganyi watu dunia ya leo.., Dar mtabakia tu washamba siku zote., all the roads have cabro kwa sasa., propaganda haina shelf life humu, unaweka naumbua., 😜 😜 πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ yaani hii nikama town in Dar is slum.., and a city outside Dar., kwa vile kwenu gorofa na density ni cityπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. tofautisha na ushamba ulio tapakaa Dar.,
 
Haha,hizi picture za zamani mnatoa wapi,poleni Nairobi si chafu kama Dar,hView attachment 2259967ere is the current state of this area😍😍😜
The guy is so desperate have posted even a video clip ya 2022., sisi sio wenzao bana.,., na hapa bado iko ranked as a slum in Nairobi., pipeline(Paipu) estate bado ni ghetto in Nai.,
 
yes..... pipeline estate along mombasa rd iko venye iko lakini baki tu ukijua kua sio uswazi na stone-age kama maeneo za dar-is-slum.

note tht, instead of bituminous streets, it's cabro instead. if and only if its Refuse-Collection is well managed.! am telling u Pipeline is a worldclass estate, like the Socialist estates in russia or china, an authentic concrete town, ahead of any estate in bongolala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…