Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uganda huwa wanatuogopa sisi ni baba yao. Wakijaribu huu upuuzi wa kuban bidhaa zetu sisi tutafunga port yetu kwa mizigo ya Uganda. Watafute mahali pengine ambapo 80% ya mizigo yao itapitia. Ujue Dar port, Mtwara port na Tanga ports hazina uwezo wa kuhandle an extra 7 million tonnes. Lazina mpanue ports zenu sana ili ziweze kuhandle hii 7 million tonnes za Uganda ambayo port ya Mombasa huwa inahandle kila mwaka.
 
Wamaasai wa Tanzania wanatolewa hifadhini wanaumia Wakenya……ajabu sana hii[emoji28][emoji28]

Wanaona wakihamishiwa Tanga itakuwa kuna umbali mrefu kurudi kwao Kenya! [emoji23][emoji23][emoji23]
Serikali huwa haikurupuki, unakumbuka ile operation ya Mr born town kwenye ile mikoa iliyopakana na kwa slim!
 
Halafu Uganda wamengoja 2 years saa hii ndio wameamua kuban bidhaa za Kenya kwa sababu ni wakati wa elections. Wanadhani Kenya haitafanya lolote, watashangaa sana.
 
Usichokijua ni kwamba Wamaasai ni kitu kimoja. Usitegemee mama yenu apige Wamaasai wa Tanzania na Wamaasai wa Kenya wanyamaze.
I think there is a sinister motive behind settlement ya wamasai kwenye hii hifadhi and it seems that it is being orchestrated by kenyan state machinery.
 
Kumbe trade kati ya Kenya na Uganda ni $1.14 billion wakati trade kati ya Kenya na Tanzania ni $0.95 billion.
 
Nyie ndio mnaanza chokochoko EA nini maana ya free trade sasa and why did you subscribe to the east african protocol at first place.

Sijawahi kusikia migogoro endelevu between any other members of the community apart from Kenya and the rest.
 
Halafu Uganda wamengoja 2 years saa hii ndio wameamua kuban bidhaa za Kenya kwa sababu ni wakati wa elections. Wanadhani Kenya haitafanya lolote, watashangaa sana.
Unajua kwenye Community yoyote huwezi lazimisha kuuza products kama comparative advantage yako iko chini haya mambo ya protection ni ya kizamani sana na inafaa kwa solo countries. Kenya needs to identify and produce bidhaa ambazo zitampa comparative advantage kwenye soko.
 
kuna hii page ya mkenya inadanganya huko youtube kuhusu loliondo
Ndio utajua Wakenya tupo kila mahali. Hata youtube tupo na tutaendelea kuwa-expose. Hii channel ya African Insider ni ya Mkenya na ana 200,000 subscribers kwa youtube na ameshawashushia nondo.
 
What do you think , ama unadhani mnaletanga bidhaa kenya ndio mnatafuta soko, any tanzanian truck coming to kenya already has been paid for,
I know Kenyans who own Tanzanian license plated vehicles for ease of business. Its easier to scavenge deep inside Tanzania bila kusumbuliwa na polisi.
Kazi ya hayo malori ni kuleta bidhaa kutoka Tanzania lakini wamiliki ni wakenya.
 
Ndio utajua Wakenya tupo kila mahali. Hata youtube tupo na tutaendelea kuwa-expose. Hii channel ya African Insider ni ya Mkenya na ana 200,000 subscribers kwa youtube na ameshawashushia nondo.
Aisaidii chochote hiyo channel katika kusabotage utalii wa Tanzania
 
Bado malori yetu yamekwama mpakani [emoji16]
Uganda ni hatari sana. Wao wameinvest kwenye factories na wameanza kuunda manufactured goods. Kenya inaruhusu raw materials na vyakula kutoka Tanzania lakini inakataza manufactured goods kutoka Uganda hususan processed milk na sugar. Kenya haitaki industries zetu zipate competition kutoka kwa industries za Uganda. Uganda ina-industrialize faster than Tanzania ndio maana unaona Uganda wameanza ku-export manufactured goods to other EAC countries wakati nyie malazy bado mna-export raw materials. Mnafurahi ku-export vyakula na malighafi wakati Uganda wanatamani kupata fursa ya kuexport processed sugar na processed milk to Kenya?
 
I know Kenyans who own Tanzanian license plated vehicles for ease of business. Its easier to scavenge deep inside Tanzania bila kusumbuliwa na polisi.
Kazi ya hayo malori ni kuleta bidhaa kutoka Tanzania lakini wamiliki ni wakenya.
Tumeshafungua storage facilities hapo mombasa hamtahitaji kuja tena huku mtanunulia hapohapo mombasa.
 
Sisi Tz advantage yetu ipo SADC huko ndipo tumeweka nguvu kwa manufactured goods zetu.
 
Wanaona wakihamishiwa Tanga itakuwa kuna umbali mrefu kurudi kwao Kenya! [emoji23][emoji23][emoji23]
Serikali huwa haikurupuki, unakumbuka ile operation ya Mr born town kwenye ile mikoa iliyopakana na kwa slim!
Watanzania wapumbavu mnashabikia swala la wamasai wakati ccm inafanya uchafu kwa watz wenzetu huu ni upumbavu ulio tukuka ...wakati ccm inawaua wazanzibar kila wanapo chagua upinzani zanzibar ccm inatuma askari kuwaua haya mambo siyo ya kushabikia ..... hakuna mmasai angekataa kuama kama kungekuwa kuna maslai ya haki huu uzi kwa sasa umevamiwa na wahuni wa ccm ...sabaya kashitakiwa wakati ajamwaga hata tone moja la damu lakini tuna ambiwa ni jambazi ....sasa hawa wanao mwaga damu ya watz kwa lengo la kupora ardhi yao tuwaite watakatifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…