Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
sawa ila Nairobi ni mji wa ndani....kuna vitu vingi Nairobi ikonayo ambazo Dar haina...so kuringa na beaches is premature in this case....by the way, Nairobi was set as the capital city makusudi...hawakutaka mji wa baharini sababu ya joto jingi...neno 'Nairobi' lina maanisha 'a place of cool waters' kwa kiMaasai.....Pili, hii inaonyesha kukua kwa uchumi...nenda Egypt, Nigeria, Morocco na Afrika Kusini utaona kuwa walihamisha capital city toka baharini sababu hizo hizo za joto...sasa nyie mmebaki na Dar yenu tu ukienda kwingine kunafanana na msitu... hamna maendeleo nje ya Dar..hii ni kwa sababu mmeweka kila kitu pale Dar including airport, seaport,industries etc....heri sie tuna Nairobi (for running business, industries and airports) kisha kuna Mombasa (for ports and beaches) na Kisumu (for second port)...na pia nashangazwa, hivi huwa mnavaa suti pale Dar na joto hilo??? duh!Asante kwa jibu lako....[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
mbona povu....si ulishanipa jibu kuhusu kama nairobi iko na beaches.....porojo ya nini sasa.sawa ila Nairobi ni mji wa ndani....kuna vitu vingi Nairobi ikonayo ambazo Dar haina...so kuringa na beaches is premature in this case....by the way, Nairobi was set as the capital city makusudi...hawakutaka mji wa baharini sababu ya joto jingi...neno 'Nairobi' lina maanisha 'a place of cool waters' kwa kiMaasai.....Pili, hii inaonyesha kukua kwa uchumi...nenda Egypt, Nigeria, Morocco na Afrika Kusini utaona kuwa walihamisha capital city toka baharini sababu hizo hizo za joto...sasa nyie mmebaki na Dar yenu tu ukienda kwingine kunafanana na msitu... hamna maendeleo nje ya Dar...heri sie tuna Nairobi (for running business, industries and airports) kisha kuna Mombasa (for ports and beaches) na Kisumu (for second port)...na pia nashangazwa, hivi huwa mnavaa suti pale Dar na joto hilo??? duh!
hamna beach Nairobi.
nilitaka nikueleweshe ...huwezi ukaringia wakenya eti mna beaches...kenya si landlocked...tumeelewana? ila bado hujanijibu...mnavaa suti kule dar mkielekea ofisini na 40 degrees Celsius? itakuwa basi ofisi zenu zinanuka jasho sana...mbona povu....si ulishanipa jibu kuhusu kama nairobi iko na beaches.....porojo ya nini sasa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
Suti unavaa,ukiwa home unajiandaa kwenda ofisini probably itafaa suti 7bu ukiingia kwenye gari kuna air condition, ukiwa ofisini pia a.c. kama kawaida. ..nilitaka nikueleweshe ...huwezi ukaringia wakenya eti mna beaches...kenya si landlocked...tumeelewana? ila bado hujanijibu...mnavaa suti kule dar mkielekea ofisini na 40 degrees Celsius? itakuwa basi ofisi zenu zinanuka jasho sana...njoo Nairobi utafikiri umefika Canada...kabaridi kazuri sana ka kufanya kazi...ndio maana tumewazidi kiuchumi...weather pia inachangia sana kwa productivity by the way...
oooh hivyo ofisi za dar zote zina a/c?...ama unajiongelea wewe...mimi kwa fikra zangu, joto jingi kama ya Mombasa ile inapunguza productivity...ndio unawaona wapwani wale ni wavivu vile...wanaamini Mombasa raha tu...si wote lakini...ila kama lagos luanda na accra wanafanya kazi poa kwa joto basi ni sawa tu pia...Suti unavaa,ukiwa home unajiandaa kwenda ofisini probably itafaa suti 7bu ukiingia kwenye gari kuna air condition, ukiwa ofisini pia a.c. kama kawaida. ..
Kama a.c. Hamna kuna feni aka panga boy hehehe. ..
Swali lako la kizushi kwelkwel ni sawa na kuuliza mtu anayeishi Dubai au mombasa eti suti ya nn....
Ila inakua uduanzi kuivaa suti jua kali mchana for fashion
Sent using Jamii Forums mobile app
Na pita mjini uhesabu hao waliovaa suit unambie kama ni wengi sasa...huwez vaa suti tu ilimradi....oooh hivyo ofisi za dar zote zina a/c?...ama unajiongelea wewe...mimi kwa fikra zangu, joto jingi kama ya Mombasa ile inapunguza productivity...ndio unawaona wapwani wale ni wavivu vile...wanaamini Mombasa raha tu...si wote lakini...ila kama lagos luanda na accra wanafanya kazi poa basi ni sawa tu pia...
duh!!....povu lote hili ni kwasababu ya kukuuliza kama nairobi kuna beaches?....au kuna jambo lingine?....smh.nilitaka nikueleweshe ...huwezi ukaringia wakenya eti mna beaches...kenya si landlocked...tumeelewana? ila bado hujanijibu...mnavaa suti kule dar mkielekea ofisini na 40 degrees Celsius? itakuwa basi ofisi zenu zinanuka jasho sana.
njoo Nairobi utafikiri umefika Canada...kabaridi kazuri sana ka kufanya kazi...ndio maana tumewazidi kiuchumi...weather pia inachangia sana kwa productivity by the way...
hamna beach Nairobi.
huko mbona tulitoka kitambo mkuu...kisha hamna la povu wala la nini...argument nimetoa kali sana nikama sindano imechoma vzr...duh!!....povu lote hili ni kwasababu ya kukuuliza kama nairobi kuna beaches?....au kuna jambo lingine?....smh.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
sawa ila punguza hasira....[emoji23] [emoji23]huko mbona tulitoka kitambo mkuu...kisha hamna la povu wala la nini...argument nimetoa kali sana nikama sindano imechoma vzr...pili, nimekuzoea ukishindwa argument huwa unaanza kubwabwaja maneno kama kigugumizi ukilia lia eti povu.. ..umeshatambulika kadoda. try something new...
Kaamka vibaya huyo leo...kajiona mjanja kumbe chakaπππππ7/11 is one of residential apartments in Kawe city. its not kawe city ...Kawe City Is A city my friend with many buildings office,hotels ,malls and other residential apartments ..7/11 is G+19 x7 kama cio x8[emoji23][emoji23]..moto uko pale pale
So kama sehemu hakuma majengo maana yake kuna vichaka na miti utasemaje CBD sio majengo we ulitaka CBD iwe nini??? Hebu tuanze hapo maana nisije nikawa napoteza nguvu nyingi kumbe napoteza energy bureππww una kasoro bwana..CBD tena imekuwa jengo?....upperhill ni kubwa ila picha hii ni ya simu...ulitaka jamaa apae angani ndipo apige picha CBD nzima? labda nikuulize ndugu, umesoma mpaka ukamaliza ama ww dropout?π sababu naona kueleza vitu vya kawaida sana ni shida huelewi ina maana hujui CBD nini? tuanze hapo kwanza...maybe nitakulewa...umeenda chuo kikuu ama umefika kidato kipi? CBD sio jengo mkuu
They can't see that 90% of their city is slummy like. ..You guyz makes me existed all the time to here you saying Nairobi is small,when the entire dar population is crowded in their one and only tiny cbd surrounded by 97% slums
enhee patanu sana hapo nilitaka kujua hvo vitu nairobi vipo dar hakuna plz anza kimoja baada ya kinginesawa ila Nairobi ni mji wa ndani....kuna vitu vingi Nairobi ikonayo ambazo Dar haina...so kuringa na beaches is premature in this case....by the way, Nairobi was set as the capital city makusudi...hawakutaka mji wa baharini sababu ya joto jingi...neno 'Nairobi' lina maanisha 'a place of cool waters' kwa kiMaasai.....Pili, hii inaonyesha kukua kwa uchumi...nenda Egypt, Nigeria, Morocco na Afrika Kusini utaona kuwa walihamisha capital city toka baharini sababu hizo hizo za joto...sasa nyie mmebaki na Dar yenu tu ukienda kwingine kunafanana na msitu... hamna maendeleo nje ya Dar..hii ni kwa sababu mmeweka kila kitu pale Dar including airport, seaport,industries etc....heri sie tuna Nairobi (for running business, industries and airports) kisha kuna Mombasa (for ports and beaches) na Kisumu (for second port)...na pia nashangazwa, hivi huwa mnavaa suti pale Dar na joto hilo??? duh!
hapa jeπππππ
haifiki ata 10per cent...hizo ni majina tu but not size
Check the image vzr angali black colour ni city center angalia slums area sasa uone shugli yakeπππhaifiki ata 10per cent...hizo ni majina tu but not size
So iyo red square ndio size...Check the image vzr angali black colour ni city center angalia slums area sasa uone shugli yakeπππ
nilitaka nikueleweshe ...huwezi ukaringia wakenya eti mna beaches...kenya si landlocked...tumeelewana? ila bado hujanijibu...mnavaa suti kule dar mkielekea ofisini na 40 degrees Celsius? itakuwa basi ofisi zenu zinanuka jasho sana...njoo Nairobi utafikiri umefika Canada...kabaridi kazuri sana ka kufanya kazi...ndio maana tumewazidi kiuchumi...weather pia inachangia sana kwa productivity by the way...
nilitaka nikueleweshe ...huwezi ukaringia wakenya eti mna beaches...kenya si landlocked...tumeelewana? ila bado hujanijibu...mnavaa suti kule dar mkielekea ofisini na 40 degrees Celsius? itakuwa basi ofisi zenu zinanuka jasho sana...njoo Nairobi utafikiri umefika Canada...kabaridi kazuri sana ka kufanya kazi...ndio maana tumewazidi kiuchumi...weather pia inachangia sana kwa productivity by the way...