Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,395
- 5,804
True. Na wengi wanalala nje au kwa slums wakiwa pamojaHawa wamasai wa tz wako Kila mahali Kenya wakiuza madawa na vibuyu plus sandals!
Seems Ni maskini sana hadi wanavuka border!!!
Na wako na sura za kiturkana not like Kenyan maasais especially narok ones
Yenu na nani?Mwenye JF anajulikana, we ni mtumiaji wa hii forum kama tu sisi wengine huna shares zozote. Kiburi na mali ya watu wengine [emoji23][emoji23]We mwehu nn, Kenyan forum alianzisha mkenya? Hii jamiiforums ni brand toka Tz ni yetu sisi Watz na hamkuwa mkiijua hapo kabla usijipendekeze kwa vitu visivyokuhusu.
We shangilia nchi kusambaratika wakati hujui hujma zinazofanywa na NGOs za nchi ya jirani! Yaani maasai wagombee Ngorongoro na Loliondo tu na si Masai mara au Amboseli au Tsavo? Na haiingii akilini kwako wakati yoote ni Maaland? When it comes to land within Tanzania utaskia Maaland cards being played ila land within Kunyaland huiskii hilo!What is this?
Wap nimeshangilia?We shangilia nchi kusambaratika wakati hujui hujma zinazofanywa na NGOs za nchi ya jirani! Yaani maasai wagombee Ngorongoro na Loliondo tu na si Masai mara au Amboseli au Tsavo? Na haiingii akilini kwako wakati yoote ni Maaland? When it comes to land within Tanzania utaskia Maaland cards being played ila land within Kunyaland huiskii hilo!
Mama kwa hili anafeli pakubwa.. and here clearly shows ni walewale wa 'kikwete'. Kwanza hata hajitambui
Hiyo haibadili ukweli kwamba ni mali ya mtz, aliyesoma shule za Tz, na anayeishi Tz, nyie mnajipendekeza tu kuwepo humu, mkiona namna gani vipi mnaweza kuondoka pia kwn c mna platform zenu huko? Mbona cc Watz hatushoboki na platforms zenu? Sasa kwa kuwa mnashoboka na mali za Watz mkae kwa kutulia na mfuate taratibu za platform za watu co mnatuletea tabia za kihuni za huko kwenu zinazotokana na ugumu wa maisha.Yenu na nani?Mwenye JF anajulikana, we ni mtumiaji wa hii forum kama tu sisi wengine huna shares zozote. Kiburi na mali ya watu wengine [emoji23][emoji23]
Mama kwa hili anafeli pakubwa.. and here clearly shows ni walewale wa 'kikwete'. Kwanza hata hajitambui
Evidence ya unachoongea? Loliondo Game Controlled Area imeanza ku-exist Leo? Wacha kasumba mzee hawa Masai wengine wanatoka Kenya. Sasa tatizo lao la ardhi kule wasituletee sisi!Wap nimeshangilia?
Ni ujinga wa mama kutaka kupewa sheker na waarabu kisa wawape hio ardhi.. shes not patriotic at all.