Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Why are you soo kin on a Tanzanian president to like or hate Kenya?, He/she is not a Kenyans' president, does it affect Kenya in any how?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], really Tanzania is the Kenya's most important African country. We Tanzanians never think anything whether Uhuru Kenyatta likes or hates Tanzania, to us it is irrelavant.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Umesahau kumwambia Magu ndio aliwapokonya wakenya bomba la mafuta, nalo linakuja Tanga, hii ilipelekea aanze upanuzi bandari ya Tanga pamoja na Airport ya Tanga.

Tujiulize hili bomba la Mafuta angekuwa mama ndio raisi angeweka kupokonya wakenya?
Hayuko aggressive kabisa anachukulia vitu simplesimple sana. Akibadilika ana uwezo wa kufanya mambo mengi mazuri kwa sababu ya msingi ulioachwa na Magu.
Kule Arusha nako magu alipeleka bilioni 500 za maji tu.
 
Inferiority complex inawasumbua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…