Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,149
- 107,714
kitovu cha utalii kipi wakati wana Biharamula wamekataa jina la Chato Burigi NP? Ni mimi au wao?Sasa kwa nini hutaki chato iwe kitovu cha utalii?
Hakuna namna tena .... hospital chato, airport chato,gov'office chato ,mahoteli chato nk.. chato ni tanzania pia mapato yao yatajenga tanzania nzima hakuna haja ya wivu mkuu
Du[emoji849][emoji849]nakuona upo ndani ya kipanya unaogopa hata kuonyesha ndani [emoji1787][emoji1787]kunguni kama wotenikiwa nasafiri leo kwenye dude in the middle of nowhere. somewhere btwn kisumu and nakuru
View attachment 2254276manthari View attachment 2254320View attachment 2254321View attachment 2254322
kabla hajaanza unazi wake wa kukataa kukubali covid 19 pia kufunga Bureau de Change na mahoteli sio!kipindi cha magu kabla ya covd tulihiti our highest score revenue kwenye italii aliwezaje?
Kabla hujanijibu naomba utuwekee yale mapato tuliokia tunawachapia wakenya hapa
Hii posti inakuusu geza ulole
Usikute tuna argue na Na.p.e humu mana alivyotolewa tu kwenye cheo chake basi na huyu wa humu akaanza sintofahamu zake japo hakuwa straight kama this time.Yani Geza Ulole siamini kama ni wewe unaye type ..unaweza hisi account imekuwa hacked..
Wewe Geza wakusifia Kila kitu cha magu ..tena ukafanya watu wengne wampende Magu...na ulikuwa una i track na kusifia miradi yake na ndege etc
Leo unaiita vitu vyake upuuzi..
Aiseh typical ndumi la kuwili..
Magu had his mistakes lakini..una complain kama vile ulikuwa unateseka sana..wakati wake
Ni wivu tuu unawasumbua chato ina "miundo msingi tayari" hiyo tuu inatosha kuifanya chato ichangamke kuliko biharamuro otherwise tuiminye chato na tuanze upya kuijengea biharamuro miundomsingi!!!kitovu cha utalii kipi wakati wana Biharamula wamekataa jina la Chato Burigi NP? Ni mimi au wao?
coz of this clip ama?Kwenye sekta ya usafiri amtufikii hata kidogo
Wewe kwa akili yako hukumsikia mkuu wa nchi akisema hela ya escrow sio mali ya serikali au unajitoa ufahamu tuu. Mbona huyo mkuu wa malaika hakuthubitu kwenda kuchimba mzizi wa yote haya. Na bado jambazi mwingine akaja ikulu mchana kweupe kupiga deal la kumuachia mdogo wake ambae ni muua tembo mbona hukumlalamikia mkuu wa malaika? Saa nyingine mtumie busara tuu kuliko kuhara mambo msioyajua.Kama jambazi no 1 east africa kaachiwa na serikali ya kifisadi ya huyu mjambiani mpumbavuu kwanini unataka sabaya afungwe ....yani haachiwe baraba na yesu asurubiwe....sijui kama unamjua huyo jambazi singasinga.
We jibu banakabla hajaanza unazi wake wa kukataa kukubali covid 19 pia kufunga Bureau de Change na mahoteli sio!
kuanzia lini Mololine Shuttle ikawa na kunguni... nugu hii🐒🐒🙊🙉Du[emoji849][emoji849]nakuona upo ndani ya kipanya unaogopa hata kuonyesha ndani [emoji1787][emoji1787]kunguni kama wote
Huna capacity hiyo ya ku process information.Pumba! sjamaliza kusoma ata
😂😂😂😂 mi nlkua mnemstah kumbe umeona😂😂Du[emoji849][emoji849]nakuona upo ndani ya kipanya unaogopa hata kuonyesha ndani [emoji1787][emoji1787]kunguni kama wote
Hamna faida yoyote tanzania bora mkulima wa bustani kuliko mfanyakazi wa serikaliHuna capacity hiyo ya ku process information.
We jamaa unasafiri hata hii tz.? Unaijua miradi iliyoitwa miradi ya ULGSP.? miradi iliyofanywa na mwendazake Tz nzima.? Hadi kule kwetu Tanga.? Hiv unajua mradi wa barabara za Tanga-Dar via Pangani.? Je ile miradi ya madampo, uboreshwaji wa masoko, barabara za ndani, zahanati, masoko, hospitali pamoja na urekebishwaji wa miundombinu ya shule kongwe zote , hii ni pamoja na shule niliposoma mimi O level Usagara sec, Tanga Technical school, Galanisi na zingine nyingi.? Utengenezwaji wa stendi ya malori pamoja ujenzi wa kituo cha biashara par stendi mpya ya Tanga.? Au we jamaa ni wale wa kuona vitu kwa Tv tu then unifanye unaijua Tz.? 😂😂 Safiri we jamaa utoe ujinga wa vitu unavyoviwaza ilihali kwa ground mambo sivyo yalivyo..barabara za Kilimanjaro ni za Kikwete!
You in your glory spouting nonsense.Imagine hapa ndio mwisho wa SGR na ndio main station[emoji23][emoji23][emoji23]. Yani danganyika hakuna mpangilio kila kitu kimechanganyikiwa. Reli haina connection ya port na marshalling yard iko 100km from Dar [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe huwa unapenda mambo ya ndege sana sio?Haikuwa na Livery ya Sky Team kweli...kuna ndege za Alliance za Sky Team zinakuwaga na sky team livery
Kwenye Hiace kama kawaida. Halafu hapo in the middle of nowhere ndio ilipoishia sgr sio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16]nikiwa nasafiri leo kwenye dude in the middle of nowhere. somewhere btwn kisumu and nakuru
View attachment 2254276manthari View attachment 2254320View attachment 2254321View attachment 2254322
Utalii sio kitu cha kulazimisha. Tuanzie hapa, kuna wanyama wagani huko Chato? Twiga, Nyati Ndovu, Simba wapo Chato? Au itabidi wahamishwe kutoka maeneo mengine kuletwa hapo Chato?Ni wivu tuu unawasumbua chato ina "miundo msingi tayari" hiyo tuu inatosha kuifanya chato ichangamke kuliko biharamuro otherwise tuiminye chato na tuanze upya kuijengea biharamuro miundomsingi!!!
ao biharamuro wapewe geti watulie waache mbwembwe
Basi ni livery tu ya Sky Team..ila ni ya KQ .ukiwa member wa alliance flani kuna ndege zako baadhi zinaweza wekewa livery ya hyo Alliance..mfano Sky Team, Star alliance au One WorldYeah u r correct mkuu.
Flight number huwa haibadiliki kinachobadilika ni equipment inayotumika on that flight number.Sawa boss kwa sababu KQ482, 484 na 488 zote zikona livery ya Kq, na hizo ndio routes za Dar