Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii project ya kilometers 230 unaifahamu?

 
Boss, bado unanifuata? Hehehe.🤣🤣

Nyinyi watu mnanichekesha. Yani mmetake issues personal alafu mnaniaccuse of the same. Wanaume wazima mmeshinda the whole day mkinidiscuss?🤣🤣

Anyway, continue scratching these idiotic bongolalas booties.
 
Wewe unataka kuona barabara ndefu ama kuona one project? Yani hivi vile SGR yenu inajengwa in phases tusiseme urefu wake kikamilifu kisa haikujengwa kwa pamoja?
 
A very good morning to you ladies and gentlemen, this is how a little Nairobi look like from above, fyi after every single rich person's house in little Nairobi there are more than 1000 poorest people's houses aside, evidence are there to witness the truth [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kenyan economy is a ticking time bomb nimeshaongea humu ndani mara nyingi tuu ni ki refer currency ya kenya itakavyoanguka vibaya maana the country is displaying all the signs of a sick moribund economy.
Uchumi wote wa Kenya ni tegemezi Sana mkuu, bila strong EAC uchumi wa Kenya utasambaratika. Baada ya kukamilika kwa SGR na bwawa la umeme la Tanzania, rutashuhudia jinsi viwanda vya Kenya vitakavyofungwa kwa Kasi ya ajabu
Tony254

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Tanzania is one of the few countries in the world if not the only country to have all kind of weather, here under is how some regions look like Europe with snows on the ground[emoji1241][emoji8][emoji288]
 
More than 90% of Tanzania regions have cold weather not only during the cold season but most of the time they possess such kind of weather except coastal regions.
 
Pole Sana, ila kwa ujumla wakenya mpo na tatizo la kutokuvumiliana, yaani mnadhani ninyi mpo na haki ya kusikilizwa zaidi ya wengine, kwamba mnadhani ninyi mpo sahihi kuliko watu/nchi zingine huwa ninawaita "We are always right, while others are wrong people"

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
MTU yeyote ana support upuzi wa hawa wadanganyika hapa ni mjinga tu kama hao watanzania[emoji23][emoji23][emoji706]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…