Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Zile ndo workhorse za Domestic..sasa..Ile midude ni profit hunting planes..Wanaziita Turbojet kwa sababu ya performance yake..inapiga chini ATRs
 
Russia inaweza kupiga nato + usa kikamilifu kabisa kwa hilo nakuambia ondoa shaka ...ngoja kakosa kadogo katokee vita kamili ianze
Siku Russia wakipambana na USA ndio utaona hii dunia chungu
 
Nimezisoma ..watu nyomi aisee..Itakuwa wengi wanaenda Amsterdam.., Joburg na Addis kwa badae
Abiria ni wengi sana kwa ss alafu wageni wamekuwa wengi mno na Watz kwa ss wanatumia ndege kama daladala, pia Wakunya ni wengi sana cjui wanasiri gn na nchi yetu. Sishangai kuona JNIA kwa ss ndio the most busiest airport in the region.
 
Remove nukes from Russia, they couldn't even beat Finland, lost to imperial Japanese, almost lost to Hitler were it not for USA lending them weapons, Ukraine dragging them for 4 months.
Wewe unazijua silaha za sumu za urusi bomu moja la sumu linaweza kuteketeza 4km², pia kuna silaha za kemikali , pia zipo silaha kibaiolojia kwenye hayo yote Urusi ipo vizuri sana
 
Refrain from arguing with a person using itel.
Hahaha, tulishapita hiyo stage ya kuzunguka na kujali "mobile" phones. I am not your age, I used too much time to deal with mobile phones when I was at your age, after that stage, I shifted to buy cars, now I am in the village taking care of my goats, cows and chickens.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Huyo mnusa gundi asikusumbue mkuu kila mtu hapa kwenye hii thread anajua nani anamaisha gn kutokana na comments zake, huyo mnusa gundi pia tunajua life style yake asikupe shida.
 
Wewe unajua inflation target ya Kenya ni ngapi? Yaani Kenya huwa inataka inflation yake iwe ngapi?
But as east africans we have common agreed inflation targets to achieve macro economics convergence for a possible monetary union.
 
Za unatuonyesha barabara za two lanes alafu?
hivi umesahau kuna 8lane dongokundu bypass na chaani-changamwe course way.! ama nikuoneshe

hapa yote mombasani masera wangu, ila uskonde.. utazoea tu.
kenya wachana nayo kabisa.!! sio ligi yenu.

nadhan bado unakumbuka hii report hapa ya imf2022👇🏽
 
All this yet Tanzania controls over 40% of LPG business in Kenya! The land ful ofl white elephants!
 
All this yet Tanzania controls over 40% of LPG business in Kenya! The land ful ofl white elephants!
but u are very much ware tht kenya we don't have natural gas.. also south africa, even mauritius and botswana yet?.... malizia wewe mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…