Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar es salaam city

Sent using Jamii Forums mobile app
nice pics...sasa picha kama hizi ndio mnafaa mlete...sio kila mara TPA na PSPF...mnafanya mji wenu ukae kana kwamba hauna mijengo mingine..kuna wakati Nairobi picha zilkua tu ni KICC na Times Tower...ila baada ya Upperhill na Westlands ku upgrade, sasa tuna variety...
 
Have seen the density? mopao Jay[emoji4][emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…