Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Woiyeeee wanajenga only 400km of paved roads per financial year for both Urban and Rural roads.
KURA yenyewe alone ina mradi mmoja nairobi wa around 400km wa lami/cabro in the informal settlements....yenyewe Tanzania wana safari ndefu
 
Japokuwa haziji kwa sababu ya Royal tour, Eurowings sio seasonal but will be all year round flights starting with weekly 2 flights! Epuka uropokaji!

Balozi hatambui royal tour at all 😂😂😂

Kaongea ukweli ila huu ukweli angesema mbongo wangemlabel sukuma gang as usual! Hakuna impact yoyote ya royal tour so far!
 
Form 4 division 4 unatoa wapi ubavu wa kufundisha watu kuhusu inflation humu? Mbona ulikuwa unajaribu kunifundisha mambo ya inflation? JF ina maajabu. Unajua jinsi ya kucalculate inflation wewe? Usikimbilie kugoogle maana google haitakusaidia. Kama hukuvisoma darasani wachana navyo. Consumer price index (CPI) unaijua ni nini? Producer price index (PPI) unaielewa?

Unajua jinsi ya kucalculate consumer price index? Mambo haya ndio tulisoma darasani. Na neno "basket of goods", "Food basket" na "market basket" kama zinavyotumika kiuchumi unavielewa? Mwishowe neno "index" ina maana gani kama inavyotumika kwenye neno "consumer price index"? Usikimbilie kugoogle. Nielezee hii index ni nini pole pole nakungoja. Leo ni Saturday sina haraka.
 
Ila Mwl nae alikuwa mtu wa ajabu, mbona alikataa makao makuu kuwepo Dar?
Mwalimu alikua pan africanism sana , alikua anataka wasimuone selfish , hata mateka wa libya kwenye vita ya kagera (Tanzania na Uganda ) aliwarudisha bila masharti . Mwalimu aliweza shinda selfishness maana angeweza kuwa tajiri namba moja kwa kipindi hicho angejimilikisha hata migodi kadhaa
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
tuusan njoo tuchambue hii latest statistics. Najua unapenda hivi vitu kama mimi. Kenya ni ya tatu kwa kupokea remittance in Sub-Saharan Africa. Tanzania haipo top 10. Inapigwa na nchi ndogo kama Togo. Hivi niulize, ni kwa nini Tanzania ina diaspora population ndogo? Kwa nini huwa hampendi kutembea nje ya nchi yenu?


  1. Nigeria: $19.2 billion
  2. Ghana: $4.5 billion
  3. Kenya: $3.7 billion
  4. Senegal: $2.7 billion
  5. Zimbabwe: $2.0 billion
  6. Democratic Republic of Congo: $1.3 billion
  7. Uganda: $1.1 billion
  8. Mali: $1.1 billion
  9. South Africa: $900 million
  10. Togo: $700 million

 
Kwenda ughaibuni kunahitaji mambo kadhaa kuzingatia...kwanza kabisa elimu na lugha hehe hapo ndio mtihani...mtanzania wa kawaida anaweza kua mkazi wa mkoa wa Pwani ambae hajawahi hata kufika morogoro hadi anakufa
 
Japo imeongezeka lakini bado tuko chini nmeona tushafika $500m++ badobado sana
 
Kwenda ughaibuni kunahitaji mambo kadhaa kuzingatia...kwanza kabisa elimu na lugha hehe hapo ndio mtihani...mtanzania wa kawaida anaweza kua mkazi wa mkoa wa Pwani ambae hajawahi hata kufika morogoro hadi anakufa
Hahaha. Ni kweli lugha hususan ya kiingereza ni muhimu kukifahamu. Huwa mnapenda kusema kwamba kujua kiingereza hakuna manufaa yotote. Lakini ukiangalia nchi tatu zinazopokea remittance nyingi zaidi Nigeria, Ghana na Kenya zote zinakithamini lugha ya kiingereza na kukipatia kipa umbele. Kenya kupata remittance ya $3.7 billion kwa mwaka sio mchezo. Hio ni nyingi kushinda mapato yenu ya dhahabu. Kenya hatuna dhahabu kama nyie, dhahabu yetu ni human resource (rasilimali watu).
 
wacha uropokaji nawe zaidi ya wheat flour hebu nitajie hayo mazao mengi yanayotoka Russia na Ukraine! mbolea si mazao! Vodka?
Waambie hao kina Macky Sall waendeleee kumlamba Putin,sisi Tanzania tunaendelea kujipanga kutumia fursa 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220604-131913.png
    140.6 KB · Views: 27
  • Screenshot_20220604-121256.png
    97.6 KB · Views: 32
  • Screenshot_20220603-160421.png
    136 KB · Views: 29
Kingereza ni muhimu na lazima uwekeze ili uweze kukifahamu...iyo hela ni ndefu sio siri ,Ndio maana mm hua sipingi nikisoma makaratasi kua gdp ya nchi fulani ni kubwa kuliko yetu...naona umerusha kidongo cha ur remittance vs our gold revenue [emoji38]
 
Aibu kivipi wakati Balozi anasema hana uhakika kama ndivyo ilivyo japo Royal tour imesaidia lakini akasema kikubwa ni jitihada na ushirikiano wa Tzn na Ujerumani katika kuongeza biashara na Tanzania..

Swala la aibu kwa Waziri linatoka wapi?
 
The answer is simple the quality of life in Tanzania is better in comparison to the countries on that list hence most Tanzanians prefer not to migrate abroad in seeking of greener pastures.
 
Balozi hatambui royal tour at all 😂😂😂

Kaongea ukweli ila huu ukweli angesema mbongo wangemlabel sukuma gang as usual! Hakuna impact yoyote ya royal tour so far

Nini cha ajabu hapo? Kenya iko kwenye remittances siku nyingi tuu na sababu ni kwamba Rais wa Kenya wako wengi Sana Duniani..

Sera za ujamaa za Tanzania hazikutoa fursa kwa watu kuchangamkia fursa Duniani ndio maana hadi saizi bado watzn wanaogopa kwenda kutafuta maisha nje ya Nchi..

Mwisho Nchi zenye Hali ngumu ya maisha ndizo raia wake wamekimbilia Nchi za Nje ila Tzn hii utoke ukafuate ni I huko kwingine?
 
Mfano mzuri ni Somalians wako kila pembe ya dunia sababu kuu ni kukimbia matatizo nyumbani.
 
Ujamaa ulikwisha zaidi ya miaka ishirini iliyopita. Ni kitu gani kinawafanya msite? Huwa mnasema mna education system bora kushinda ya Kenya sasa mbona msitoke na kutafuta fursa nje ya nchi yenu?
 
Ujamaa ulikwisha zaidi ya miaka ishirini iliyopita. Ni nini bado mnangoja? Huwa mnasema mna education system bora kushinda ya Kenya sasa mbona msitoke na kutafuta fursa nje ya nchi yenu?
Kwa hiyo nyie muko kwenye Ubepari kwa miaka 20? Mna miaka Zaidi ya 50 kwa hiyo tutalingana?
 
Hivi unajua kama congo ni mwanachama wa sadc?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…